Chadema kila mtu ni kambare!

Live streaming tu imewashinda.
Hayo uliyowashauri watayawezea wapi?
Wanatakiwa kujitambua, wakumbuke kuwa kampeni ni gharama na wapiga kura wengi wanatumia redio kuliko tv na mitandao ya simu
 
Wazo zuri, naliunga mkono kwa 100%.
Wewe unayeona kuna tatizo na ukalitolea suluhisho ndio mwanachama wa kweli
 
Hawawezi kukuelewa mkuu! Walisha zibaga masikio.. Wacha waendele kujifariji , ilhali hali ni tofauti field!.Kwanza what happens Dodoma leo? mana mpaka sasa sijaona amsha amsha za kule!.
 
CHADEMA hamuwezi kujilinganisha na wenye rasilimali za nchi tangu uhuru, watu ambao baada ya vyama vingi (1992) waliambiwa warudishe mali zote serikalini ili mfumo wa vyama vingi uanze vyama vyote vikiwa sawa lakini walikataa...
Ushauri mzuri
 
Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.

Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.

Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...

Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.
 
Haki ya Mungu. Wewe na YEHODAYA hii kazi mliyopewa ya kupambana na Lissu itawatoa nyongo. Jamani tafitini kidogo ndo mje na huu upupu wenu basi. Halafu Watanzania wa leo sio wale wa enzi za Mwinyi na Mkapa. Ukiongea ujinga tunajua hizi ni chuya tu.
 
Ulitaka awe amejenga madaraja ndio awe rais? Au awe ameua watanzania wangapi?
 
John yeye anafamika kwa utekaji, uuwaji, na kupiga watu risasi
 
Lisu inje ya kiki zile za kutangaza ushuhuda na kutoza sadaka kwenye zile ndooo nyeupe, yaaaniiii hana loloteee nikupayukapayukaaa tyyuuuuu.
Yaaaaani nimweupe hana lolote
 
Jinga lao ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…