Kuwa mgombea Urais unahitaji kuwa na profile au CV inayoonesha uliwahi kufanya jambo muhimu kwa jamii unayoitarajia kuongoza iwapo ukipewa fursa.
Nikimuweka lissu kwenye "barometer" ya siasa na maendeleo ya Tanzania nakosa jambo lenye mashiko ambalo linaweza kutumika kama rejea kwamba aliwahi kuongoza jamii na kuiletea Maendeleo flani.
Ikumbukwe kuwa nafasi ya Urais sio nafasi ya kufanyia majaribio ...
Kama kuna jambo ambalo ni Iconic kwa maendeleo,uchumi na ustawi wa Taifa lililowahi kufanywa basi namchallange aliseme kwetu sisi wapiga kura.