Huyo jamaa anapenda sana kujipendekeza kwa tundu kinafiki..ila namuelewa nyalandu
Damu nzito kuliko maji; Nyalandu alikwenda kumuona nduguye hospitali ikawa nongwa kwa Jiwe, akawaambia isiwe taabu akawaachia ubunge wao na sasa anaurudisha kwa mlango wa Chadema!!!