Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Katika picha anaonekana akiwa makini kumlinda Tundu Lissu na kumkinga kushikana na watu bila ulazima. Kama humjui Unaweza ukadhani ni mmoja ya walinzi wa mgombea.

Ni jambo muhimu sana kuhakikisha usalama wa wagombea wote 'muhimu' wa Urais kipindi hiki kwa sababu kinachangamoto nyingi ikiwemo kujulikana muda na mahala utakapokuwepo pamoja kukutana na watu wengi. Isije tokea wengine wakaona kampeni ngumu wakatumia njia nyingine kutafuta ushindi
View attachment 1559980
Kawaida TAL alipotangazwa tu TISS ilipaswa wampe ulinzi ila kwa kuwa wamejawa na hila ndo ivo tena
 
Huyo jamaa anapenda sana kujipendekeza kwa tundu kinafiki..ila namuelewa nyalandu
MATAGA mmepoteana vibaya mno [emoji23] [emoji23] [emoji23]
IMG_20200905_225341.jpg
 
Katika picha anaonekana akiwa makini kumlinda Tundu Lissu na kumkinga kushikana na watu bila ulazima. Kama humjui Unaweza ukadhani ni mmoja ya walinzi wa mgombea.

Ni jambo muhimu sana kuhakikisha usalama wa wagombea wote 'muhimu' wa Urais kipindi hiki kwa sababu kinachangamoto nyingi ikiwemo kujulikana muda na mahala utakapokuwepo pamoja kukutana na watu wengi. Isije tokea wengine wakaona kampeni ngumu wakatumia njia nyingine kutafuta ushindi
View attachment 1559980
Tunamtakia kila la kheri Mh Tundu Lissu Mwenyezi Mungu amlinde.
 
Muhimu ni kujifunza kuheshimu mawazo ya watu pamoja na uhuru wao,sio kesho Nyalandu anaamua kurudi ccm anaanza kutukanwa na kutolewa akili.
 
Upendo, imani na matumaini ya watanzania inazidi kuongezeka siku kwa siku kwa Tundu Lissu, hali hii inatishia mustakabali wa ccm kuendelea kuwepo.
 
Ndugu Magufuli yupo Kanda ya Ziwa. TBC anatembea nayo. Hata akisimama njiani kwa dakika 5 anakuwa "live". Ananadi sera za CCM. TBC imempa 💯+percent upendeleo dhidi ya mgombea wowote wa urais. Yaani ni kama TBC imekuwa tbccm. Cha ajabu Magufuli anaongea lugha tusiyoijua. Tunaambiwa ni kisukuma. Sasa hii lugha si ya kitaifa. Kwanini TBC isimkatie matangazo mubashara?
 
Ndugu Magufuli yupo Kanda ya Ziwa. TBC anatembea nayo. Hata akisimama njiani kwa dakika 5 anakuwa "live". Ananadi sera za CCM. TBC imempa [emoji817]+percent upendeleo dhidi ya mgombea wowote wa urais. Yaani ni kama TBC imekuwa tbccm. Cha ajabu Magufuli anaongea lugha tusiyoijua. Tunaambiwa ni kisukuma. Sasa hii lugha si ya kitaifa. Kwanini TBC isimkatie matangazo mubashara?
Alafu?
 
Kanda ya ziwa ngome ya ccm awajamtendea haki fully stress hapo bado kusini ngome ya ACT bado Nyanda juu kusini huku Ni lzm Alikiba, Harmonize na diamond wawepo kuokoa jahazi
 
Kachanganyikiwa. Wananchi wamemzomea mbele yake
 
Ndugu Magufuli yupo Kanda ya Ziwa. TBC anatembea nayo. Hata akisimama njiani kwa dakika 5 anakuwa "live". Ananadi sera za CCM. TBC imempa 💯+percent upendeleo dhidi ya mgombea wowote wa urais. Yaani ni kama TBC imekuwa tbccm. Cha ajabu Magufuli anaongea lugha tusiyoijua. Tunaambiwa ni kisukuma. Sasa hii lugha si ya kitaifa. Kwanini TBC isimkatie matangazo mubashara?
Mbwakoko habwati kwa bwana wake asilani, siku zote huufyata mkia wake.
 
Hiyo TBCCM tumeshaisikia kitambo kabla ya hata kampeni kuanza.

hamna jipya.
 
Juzi arusha, jana mwanza, kesho mtwara mara mbeya na bado wanakuambia wanafanya kampeni za kisayansi na bado wanakuambia tunashinda Uchaguzi

Hawa watu wapo sirias kweli?
Upande wa Ccm wagombea wa udiwani wanapita kila nyumba kumuombea Rais Magufuli kura ila wagombea wa Chadema hata upande wa udiwani wanashinda Twitter kumsifia robertison wa Amsterdam

Wanakwambia mwaka huu lissu lazima awe rais,wakitoka Twitter wanaenda kujifungia ndani hawatafuti hata kura mtaani
Wabunge wa Ccm wanapita mtaa kwa mtaa, kijiji kwa kijiji kuomba kura ila wa Chadema wapo Twitter wanamtukana Rais Magufuli

Mgombea wa Urais wa Ccm, Rais Magufuli anapita kila kona ya Nchi kuomba kura ila lissu anafanya kampeni Sehemu za sokoni na stend ili apate picha za kuwatumia marafiki zake

Nina uhakika kura za membe zitakuwa nyingi kuliko za lissu
 
Back
Top Bottom