Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Lissu ni raisi wa mitandaoni, Lissu akigonga 30% ya kura zote nitaharisha mafungu mafungu mpak ikulu ,
 
Hawa wanakamilisha ratiba hawapiti katika makao ya wilaya , wao wanacheza na mikoa tu , wajifunze kutoka upande wa pili...... Yaani wao wanapelekwa kwa hisia tu watachemka october pamekaribia
 
Hawezi kufikisha 30% ya kura huyu atakuwa chini ya 5% nina uhakika membe anaweza kushika nafasi ya pili baada ya Magufuli
Lissu ni raisi wa mitandaoni, Lissu akigonga 30% ya kura zote nitaharisha mafungu mafungu mpak ikulu ,
 
Halafu wakimaliza hapo wanaitishia NEC kumtangaza Lisu Kama mshindi na

Kututishia sisi wapiga kura wapo tayari kumwaga damu Lisu asipotangazwa mshindi.
 
Hahaha hii dunia haiishi vituko
Halafu wakimaliza hapo wanaitishia NEC kumtangaza Lisu Kama mshindi na

Kututishia sisi wapiga kura wapo tayari kumwaga damu Lisu asipotangazwa mshindi.
 
Ulizinzi wa nn wakati hali sio .hawezi kuwa rais nani tamlinda
 
Yule hataki ulinzi wa polisi anadai ndio waliompiga risasi na akiingia anavunja jeshi lote tunaanza kuomba kazi upya na mafunzo mapya
 
Kwani amemaliza siku ngapi tangu arudi mbona anadunda. Akatafute kura huko hakuna resources za kupoteza
 
Naomba Rais wetu mtarajiwa aongezewe ulinzi

Ni kwa Amani ya nchi

Siro na wengine mnaohusika na usalama wa watanzania naomba mpeni ulinzi wa kutosha Mgombea wa Chadema.

Kumwambia Siro amuongezee Ulinzi Lissu ni sawa Obama angekuwa bado Rais wa Marekani umwambie ampe Ulinzi Marehemu Osama Bin Laden.
 
Nimejifunza kitu.

Mgombea wa CHADEMA ambaye anaingia sehemu kuomba kura tena anaingia kimya kimya na hana rasilimali fedha za kutosha na bado watu wanaenda kumsikiliza naamini sasa kuna kitu.

Kuna ujumbe wananchi wanautuma kwa viongozi ambao una maana kubwa sana na lazima viongozi wajifunze kupitia ujumbe huo ambao wananchi huutoa.
 
Back
Top Bottom