kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Cdm wanafocus kwenye ubora sio kwenye wingi.
Ubora upo kwenye nini? Wangeanza kuwa na ubora kwenye kujenga ofisi zao.wanapanga miaka yote hii.hivi mbowe na mchwa wenzako huwa mnapeleka hela wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cdm wanafocus kwenye ubora sio kwenye wingi.
Nimekuelewa...... Budget!
Sasa mbona hapo Unguja mlijaza vitoto?Cdm wanafocus kwenye ubora sio kwenye wingi.
Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea
Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?
Najiuliza tu.
Maendeleo hayana vyama!
Naimani hata kura watapata zenye ubora sio wingi.
Kanzia nyamagana na viunga kisha akaenda misungwi.Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea
Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?
Najiuliza tu.
Maendeleo hayana vyama!
Ubora upo kwenye nini? Wangeanza kuwa na ubora kwenye kujenga ofisi zao.wanapanga miaka yote hii.hivi mbowe na mchwa wenzako huwa mnapeleka hela wapi
Hana ubavu wa kufanya mikutano zaidi ya mmoja kwa siku, jamaa ni mtu wa kuzunguka kwa ndege, sasa ndege itatua lyamidati, Ilunde, Tumuli, Nyakanazi, Mchinga, Mganza, Namtumbo nk?Muda huu nashuhudia mkutano wa pili wa mgombea urais wa CCM Dr Magufuli kwa siku ya leo, alianzia Misungwi na sasa yuko Sengerema na bado anaendelea
Najiuliza mgombea urais wa CHADEMA mbona anafanya mkutano mmoja tu kwa siku?...... Watanzania watamjua na kujua sera zake kweli?
Najiuliza tu.
Maendeleo hayana vyama!
Sasa mbona hapo Unguja mlijaza vitoto?
Kapewa ruzuku ya umma ambayo ni kodi zetu pia Wabunge wa Chadema walichangishwa pesa kwa miaka mitano kwa ajili ya kampeni za uchaguzi 2020, hilo hulioni?Tundu Lisu hatumii raslimali za umma kufanya mikutano, hivyo anakuwa na mkutano mmoja bora, kuliko kuwa na mikutano mingi kwa siku ya frustration.
Umejibu vizuri kabisa.viongozi wa simba na yanga akili zao na mambo yao vinafanana kabisa na chadema.hela ikipatikana inaliwa yote ni kama wanaishi leo leo tuSimba na yanga zina mashabiki wengi kuliko wa vyama vyote vya siasa, na wako kabla ya uhuru lakini hawana viwanja vyao itakuwa cdm? Ccm hiyo iliyokaa madarakani zaidi ya 50yrs madarakani, 90% ya majengo yake yalikuwa ya enzi ya chama kimoja. Uislamu ni dini ya karne na karne, lakini juzi wamechangiwa hela ya kujenga msikiti tena kanisani! Bakwata ina miaka zaidi ya 40, lakini juzi ndio wamejengewa msikiti na ukumbi kwa hela chafu za GSM, tena kwa shinikizo la jiwe na bashite.
Lakini pia tusisahau bado anaumwa. Hatutegemea awe too much overworked kwa siku.Tundu Lisu hatumii raslimali za umma kufanya mikutano, hivyo anakuwa na mkutano mmoja bora, kuliko kuwa na mikutano mingi kwa siku ya frustration.
mmh hata kiakili??!!.Magufuli yupo physical fit kimwili mpaka kiakili utamfaninisha na mayai mayai!
Kweli huwezi kumfananisha na majeruhi wa risasi 16. Tunashukuru kua yupo hai.Magufuli yupo physical fit kimwili mpaka kiakili utamfaninisha na mayai mayai!