Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Kapewa ruzuku ya umma ambayo ni kodi zetu pia Wabunge wa Chadema walichangishwa pesa kwa miaka mitano kwa ajili ya kampeni za uchaguzi 2020, hilo hulioni?

Weka kiwango cha pesa alichonacho ikiwemo hiyo michango v/s mahitaji ili tupime ni kiasi gani kinahitajika.
 
Umejibu vizuri kabisa.viongozi wa simba na yanga akili zao na mambo yao vinafanana kabisa na chadema.hela ikipatikana inaliwa yote ni kama wanaishi leo leo tu

Vipi kuhusu ccm yenye majengo 90% ya enzi za chama kimoja?
 
Hawezi kufikisha 30% ya kura huyu atakuwa chini ya 5% nina uhakika membe anaweza kushika nafasi ya pili baada ya Magufuli
Hata akipigiwa kura moja inatosha kumueleza magufuli kuwa kuna mtu hamuungi mkono kwa ujinga unaoendelea nchini!!
 
Ila kuna watu sijui wanatumia makalio kufikiria,yaani magufuli jinsi anavyojinadi kwa mambo yale yale aliyovurunda eti unasema amzidi kura Lissu?hiyo haitokei kabisa,na ndio Rais wa kwanza kuongoza kwa muhula mmoja,hutaamini na utaamini ikifikia octoba 28
 
Angalia tu mkutano wa Sengerema umati wa watu waliovaa nguo za CCM Ndio utajua Lisu is not a Presidential material
 
Mikutano ya kusomba watu na magari pamoja na wanafunzi pia waalimu, wamestisha masomo kwa ajili ya mkutano huo,haiingii akilini kabisa,subiri tarehe 28 october
 
Wakati akiwa katikati ya hotuba yake kuhusu muungano mh Tundu Lisu alipigiwa mwimbo wa kuchombeza au kumhamasisha zaidi.

Lisu akawageukia wasanii na kuwaambia " huwa sipendi kuimbiwa nyimbo ninapoongea"
Wasanii wakatulia Lisu akaendelea kuhutubia.

Binafsi naona kama Tundu Lisu anawatenga wasanii!

Maendeleo hayana vyama!
 
Heshima sana Bandugu.

Rais Msikivu na mnyenyekevu katangaza bima ya afya kwa wote (watanzania) wote inakuja.Habari hizi njema ziwafikie wale wote waliokuwa wakipinga kwa nguvu zote na hoja zote za kuokoteza ambao walikuwa mstari wa mbele kupinga kila kitu kinachosemwa na kamanda wa anga mheshimiwa Lissu.

Copy, Nyani Ngabu

Ngongo safarini Zanzibar Kibanda maiti.
 
Tunamshukuru Lisu kwa kulisema...Munngu amuwezeshe aendelee kusema na mengine

Mengine yapo mengi kweli kweli,mfano hili suala la polisi wa usalama barabarani kujificha vichakani na kupiga tochi halafu wanarusha picha kilimeta 5 limekuwa kero kubwa sana.Natamani siku moja wagongwe na Nyoka ndio watashika adabu.

Siku hizi nikitaka kwenda mkoa wowote Tanzania Bara basi lazima safari hiyo nipange usiku.
 
Naomba pia Lissu akazanie fao la kujitoa ili ccm pia waige ili vijana wetu waweze kupata ahueani.
 
Bwana yule bila kukwapua sera za upinzani hakuna utopolo atafanya, haya ndo matunda ya upinzani imara.

Pongezi kwa ilani ya CHADEMA!
 
Mengine yapo mengi kweli kweli,mfano hili suala la polisi wa usalama barabarani kujificha vichakani na kupiga tochi halafu wanarusha picha kilimeta 5 limekuwa kero kubwa sana.Natamani siku moja wagongwe na Nyoka ndio watashika adabu.

Siku hizi nikitaka kwenda mkoa wowote Tanzania Bara basi lazima safari hiyo nipange usiku.
Pole Mkuu[emoji23]
 
Back
Top Bottom