Kapewa ruzuku ya umma ambayo ni kodi zetu pia Wabunge wa Chadema walichangishwa pesa kwa miaka mitano kwa ajili ya kampeni za uchaguzi 2020, hilo hulioni?
Umejibu vizuri kabisa.viongozi wa simba na yanga akili zao na mambo yao vinafanana kabisa na chadema.hela ikipatikana inaliwa yote ni kama wanaishi leo leo tu
Hata akipigiwa kura moja inatosha kumueleza magufuli kuwa kuna mtu hamuungi mkono kwa ujinga unaoendelea nchini!!Hawezi kufikisha 30% ya kura huyu atakuwa chini ya 5% nina uhakika membe anaweza kushika nafasi ya pili baada ya Magufuli
Angalia tu mkutano wa Sengerema umati wa watu waliovaa nguo za CCM Ndio utajua Lisu is not a Presidential materialIla kuna watu sijui wanatumia makalio kufikiria,yaani magufuli jinsi anavyojinadi kwa mambo yale yale aliyovurunda eti unasema amzidi kura Lissu?hiyo haitokei kabisa,na ndio Rais wa kwanza kuongoza kwa muhula mmoja,hutaamini na utaamini ikifikia octoba 28
Tunamshukuru Lisu kwa kulisema...Munngu amuwezeshe aendelee kusema na mengine
Kichwa cha Lissu ndicho kinachoongoza serikali ya JMT kwa sasa.Lisu kweli ndiye mkombozi wetu.
Ameongelea ajira.. 13000 zimetangazwa.
Ameongelea bima kwa wote....mara moja inaanza kutekelezwa
Hii statement inafaa kuwa heading ya uzi (thread) mpya.Kichwa cha Lissu ndicho kinachoongoza serikali ya JMT kwa sasa.
Pole Mkuu[emoji23]Mengine yapo mengi kweli kweli,mfano hili suala la polisi wa usalama barabarani kujificha vichakani na kupiga tochi halafu wanarusha picha kilimeta 5 limekuwa kero kubwa sana.Natamani siku moja wagongwe na Nyoka ndio watashika adabu.
Siku hizi nikitaka kwenda mkoa wowote Tanzania Bara basi lazima safari hiyo nipange usiku.
Kichwa cha Lissu ndicho kinachoongoza serikali ya JMT kwa sasa.