Sio kwamba namkubali sana Tundu Lissu bali sijawahi kumuelewa Mh. Magufuli.
Sio kwamba namkubali sana Tundu Lissu bali sijawahi kumuelewa Mh. Magufuli.

Na hutokuja umwelewe ni ngumu mno kumwelewa yule baba. Wanaodhani wanamwelewa ni wagonjwa na kwa post yako hii wewe si mgonjwa so suala la kumwelewa faru forget about it period.
 

Lisu asisahau pia kutambua matatizo ya eneo husika na kitu gani atakifanya akiwa Rais. Kama eneo la Morogoro angesema sana kuhusu viwanda, mpunga, nk. Yaani matatizo ya mahali na utatuzi wake.
 
Nina hamu ya kupiga kura naona kama kampeni zinatuchelewesha maana kuna mtu tumeshamuelewa
 
Mmeanza na nyie kusomba ?,si mlisema wanakuja wenyewe?,kulikoni?,maji ya shingo?
 
CHADEMA mbona wanaogopa kurusha live hata mitandaoni mikutano yao ya kampeni? Na hata picha tu wanaleta za jioni sana giza likiwa limeingia?

Zinaletwa zikiwa zimefunikwa sura na giza za watu tusizione kwa nini? Mbona hampigi mchana kweupe mnangoja giza liingie na kuzipiga kijanja Jana as if mnaibia ibia kuzipiga

Mbona 2015 hamkuwa na hii tabia?
Nyingine mumefumwa mkiwa mu me edit za 2015 kwa nini muone haya kurusha picha za mikutano yenu kweupe jua linawaka mnasubiri giza?
 
Ukipita mtaani kwetu watoto wa maskini wadogo wanacheza wamepauka hata nguo mpya hawanunuliwi wazazi hela wanazobangaiza zinaishia kwenye kununua sukari robo na chakula.maisha ni magumu kupita maelezo vijana wanashinda kwenye kamari kwa sababu hawana ajira wanaishia kunywa viroba kupima cha buku nusu au kunywa banana za jero jero kuondoa stress.ukija kwa kina mama waliokuwa wanauza vitu katika magulio hali ya biashara sio nzuri mizigo mingi wanunuzi hakuna pesa imekuwa ngumu sana.vijana wamemaliza chuo na hawana ajira na bado wadogo zao wanazidi kumaliza shule mtakuja kuwapeleka wapi wote hao kama sio kuwazeesha tu.maisha mnapeana nyie na watoto zenu.anakula mwinyi Kisha anampatia mwinyi.anakula Khadija kopa Kisha anampatia zuchu.je wengine hamtaki wafike mahali pazuri?
 
Wanazipeleka kwa fundi cherehani anazishona ndo wanaleta.
 
YEHODAYA.
JINGA LAO.
KAWE ALMNI.
USSR

MNAKAZI NGUMU SANA NDUGU ZANGU
 
Tengeneza nawewe channel yako kwa kufanya kazi kwa bidii, sio CCM na sio chadema itakuja kukuwekea hela mfukoni ni juhudi zako tuu kulialia kamwe hakutakusaidia.
 
Ndege john serekali hata iwe vipi haiwezi kukupa utajiri...hata marekani, urusi, china ,india na nk kuna maskini grade A ,fikiri nje ya box mtu wangu kla kitu nkupambana, komaaa, pigika ipasavyo 'watoto kupauka na serekali wapi na wapi' serekali iwapake mafuta watoto rafiki yangu? ndege john change kesho uwe "faru john"
 

Mtaangaika sana kipindi hiki.
Kila kitu kwenu mnaon giza tu, labda ndiyo maana kapumzika kufanya kempeni maana haoni uelekeo. Kila upande anaona giza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…