Ndugu zangu,
Tundu ameingia mkoa wa Morogoro na sera ya kuahidi haki endapo atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini la kushangaza kila alipopita wananchi wamehoji wakitaka akabadili katiba ya Chadema kwanza iruhusu wanachama kuuhoji uongozi bila kufukuzwa laa sivyo ni mwongo.
Hoja hii imemfanya Lissu na timu yake ya kampeni kuwa mbogo wasijue la kufanya hususani kutoa majibu stahiki kwa wananchi walio wengi.
Ama kweli urais sio urahisi.
Ni Tanzania pekee ndio utawaona watu waivi kwenye siasa
Watu ambao wanakwambia mgombea wao anashnda kwavtu walivyo tenda,wakati wanakesha usku namchana kwahofu yakushndwa
Watu ambao wanaona haibu kujbu hoja ya Tanzania yaviwanda iko wapi wameamia Kusema tunaunda miundo mbinu Kwanza
Watu ambao wanashanglia wapo uchumi wakati wakati hata wao hawana vjiseti vyakukmu maisha yao nafamilia zao adi wameamua kutumika kupotosha watu mtandaon kwamalpo7000
Watu ambao mgombea wao walitaman fedha zamaafa zlzo changwa na watanzania wenzao ili kuwasaidia
Watu ambao wazaz wao walkopwa mazao yao kibabe nawao wakashndwa pata huduma zamsng naleo wanamsifia mtu uyu.
Watu ambao mkuu wamkoa aliamlisha uokozi wa Raia waliopo kwenye meli ya mv nyerere usimame adi kesho yake kwakigezo chamaji machafu wakati sisi wavuvi tunavua usiku kucha tena kwakarabai tu.namtego ukishka chini tunazamia
Watu ambao wanasherekea daraja linalojengwa Mwanza, flyover inayojengwa dar,ndege wakat wao wenyewe ata nauli yakupanda basi toka dogo beshi adi Dodoma kufatilia stahki zao nishda
Watu ambao mkuu wamkoa waliwaambia wajiajili wakat yeye mwenyewe anatumia vjana wachama kumuombea msamaha ateuliwe tena
Watu ambao tumemaliza nao pale Asante Jakaya toka2015 hatuna ajira naleo njaa inawafanya wasifie tu kwaelfu7000 yasku68.....;Kweli ukimaliza masomo ndio utaanza Shule