Lissu mwenyewe juzi alikiri kuwa ni vigumu sana kuishinda CCM sasa wewe ni nani na una nini hadi uweze kutoa comment kama hii.
Lissu alisema hivi, katiba haiko upande wetu, jeshi haliko upande wetu, usalama wa taifa na polisi hawako upande wetu, mifumo yote ya nchi haiko upande wetu hata NEC haipo upande wetu, akahoji, sasa hapo unawezaje kushinda? Lakini alisahau kuwa hata viongozi wa dini zote hawako upande wenu.
Haki ya nani sioni sababu ya Magufuli mzee huyu kuangaika na kampeni. Alipashwa alale afu siku ya mwisho aende kwenye tv na radio aombe kura kwa dakika 5 tu.