Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
CHADEMA mbona wanaogopa kurusha live hata mitandaoni mikutano yao ya kampeni? Na hata picha tu wanaleta za jioni sana giza likiwa limeingia?

Zinaletwa zikiwa zimefunikwa sura na giza za watu tusizione kwa nini? Mbona hampigi mchana kweupe mnangoja giza liingie na kuzipiga kijanja Jana as if mnaibia ibia kuzipiga

Mbona 2015 hamkuwa na hii tabia?
Nyingine mumefumwa mkiwa mu me edit za 2015 kwa nini muone haya kurusha picha za mikutano yenu kweupe jua linawaka mnasubiri giza?
 
Ndugu zangu,

Tundu ameingia mkoa wa Morogoro na sera ya kuahidi haki endapo atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini la kushangaza kila alipopita wananchi wamehoji wakitaka akabadili katiba ya Chadema kwanza iruhusu wanachama kuuhoji uongozi bila kufukuzwa la sivyo ni mwongo.

Hoja hii imemfanya Lissu na timu yake ya kampeni kuwa mbogo wasijue la kufanya hususani kutoa majibu stahiki kwa wananchi walio wengi.

Ama kweli urais sio urahisi.
 
Inaonekana hamkujipanga kabisa miaka mitano ya kampeni na kuwanyanyasa wapinzani lakini bado hamjiamini, hadi mnaenda mapumziko pumzi imekata, mlijua mtateleza tu sasa Lisu anasema ushindi upatikane kwenye sanduku la kura
 
Huyo Akipata 20% Ujue Kashinda
Anajazwa upepo na Vibendera wa mitandaoni wenye ID Tano tano
Yaani hakuna Uchaguzi Rahisi kama huu tukea Uhuru
Unajidhihirisha ulivyo utopolo kwa huyo rolimodo wako.
Nakuhurumia sana
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Haya ndio maswali yanayojenga na kuleta mabadiliko chanya ya viongozi wetu naomba pia hata kwenye mikutano ya ccm wananchi wawe huru kuyauliza maana walinzi wale wakimuona raia analo la kuuliza huwa anazongwa na kuhojiwa sana kabla ya kupewa maiki.
 
Inaonekana hamkujipanga kabisa miaka mitano ya kampeni na kuwanyanyasa wapinzani lakin bado hamjiamini, hadi mnaenda mapumziko pumzi imekata, mlijua mtateleza tuuu sasa lisu anasema ushindi upatikane kwenye sanduku la kura
Lissu mwenyewe juzi alikiri kuwa ni vigumu sana kuishinda CCM sasa wewe ni nani na una nini hadi uweze kutoa comment kama hii.

Lissu alisema hivi, katiba haiko upande wetu, jeshi haliko upande wetu, usalama wa taifa na polisi hawako upande wetu, mifumo yote ya nchi haiko upande wetu hata NEC haipo upande wetu, akahoji, sasa hapo unawezaje kushinda? Lakini alisahau kuwa hata viongozi wa dini zote hawako upande wenu.

Haki ya nani sioni sababu ya Magufuli mzee huyu kuangaika na kampeni. Alipashwa alale afu siku ya mwisho aende kwenye tv na radio aombe kura kwa dakika 5 tu.
 
Huyo Akipata 20% Ujue Kashinda
Anajazwa upepo na Vibendera wa mitandaoni wenye ID Tano tano
Yaani hakuna Uchaguzi Rahisi kama huu tukea Uhuru
Pole sana lissu anashinda kabla ya tarehe 28 kuna mgombea atakufa
 
Wewe muongo sana. Ulisikia wakihoji wapi? Kwenye mikutano yake yote mbona huwa hakuna nafasi ya maswali au hoja? Wewe ni mnafiki wa kujipendekeza kwa mambo ya kutunga tunga ya kipuuzi. Bahati hutokei Mtwara, shangazi zako hawajatishiwa vipigo. Vinginevyo usingeongea huo upuuzi wako

Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
 
Duuh,yaani umeandika hayo ukitegemea kuaminika na wana JF kweli?Watakaokushabikia kwenye hilo ni makada wenzako wa lumumba,japo hata wao wamajua ni kiwanda cha kuzalisha uongo kazini!
Jipange uje na uongo unaofanana na ukweli!
 
Huyo Akipata 20% Ujue Kashinda
Anajazwa upepo na Vibendera wa mitandaoni wenye ID Tano tano
Yaani hakuna Uchaguzi Rahisi kama huu tukea Uhuru

Kama uchaguzi ungekuwa huru wabunge na madiwani wa upinzani wangetolewa na wakurungeni na watendaji kata katika kinyang’anyilo cha kushika hatam, hakuna uchaguzi huru ndugu yangu kuna maelekezo tu kwenye tume ya uchaguzi ya sasa hivi ndio haiko huru kabisa tofauti na tume zilizopita
 
Wewe ni wa kupuuzwa na waliokutuma,ni WANANCHI gani wa Morogoro unaowaaemea,na sisi wakazi wa Morogoro tusemaje?
 
Ndugu zangu,

Tundu ameingia mkoa wa Morogoro na sera ya kuahidi haki endapo atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini la kushangaza kila alipopita wananchi wamehoji wakitaka akabadili katiba ya Chadema kwanza iruhusu wanachama kuuhoji uongozi bila kufukuzwa laa sivyo ni mwongo.

Hoja hii imemfanya Lissu na timu yake ya kampeni kuwa mbogo wasijue la kufanya hususani kutoa majibu stahiki kwa wananchi walio wengi.

Ama kweli urais sio urahisi.
Ni Tanzania pekee ndio utawaona watu waivi kwenye siasa
Watu ambao wanakwambia mgombea wao anashnda kwavtu walivyo tenda,wakati wanakesha usku namchana kwahofu yakushndwa
Watu ambao wanaona haibu kujbu hoja ya Tanzania yaviwanda iko wapi wameamia Kusema tunaunda miundo mbinu Kwanza
Watu ambao wanashanglia wapo uchumi wakati wakati hata wao hawana vjiseti vyakukmu maisha yao nafamilia zao adi wameamua kutumika kupotosha watu mtandaon kwamalpo7000
Watu ambao mgombea wao walitaman fedha zamaafa zlzo changwa na watanzania wenzao ili kuwasaidia
Watu ambao wazaz wao walkopwa mazao yao kibabe nawao wakashndwa pata huduma zamsng naleo wanamsifia mtu uyu.
Watu ambao mkuu wamkoa aliamlisha uokozi wa Raia waliopo kwenye meli ya mv nyerere usimame adi kesho yake kwakigezo chamaji machafu wakati sisi wavuvi tunavua usiku kucha tena kwakarabai tu.namtego ukishka chini tunazamia
Watu ambao wanasherekea daraja linalojengwa Mwanza, flyover inayojengwa dar,ndege wakat wao wenyewe ata nauli yakupanda basi toka dogo beshi adi Dodoma kufatilia stahki zao nishda
Watu ambao mkuu wamkoa waliwaambia wajiajili wakat yeye mwenyewe anatumia vjana wachama kumuombea msamaha ateuliwe tena
Watu ambao tumemaliza nao pale Asante Jakaya toka2015 hatuna ajira naleo njaa inawafanya wasifie tu kwaelfu7000 yasku68.....;Kweli ukimaliza masomo ndio utaanza Shule
 
Back
Top Bottom