Wazee wa ku edit picha!
Angalau TBC wamewafumbua macho waliokuwa hawajui Michezo ya CHADEMA
 
Wazee wa ku edit picha!
Angalau TBC wamewafumbia macho waliokuwa hawajui Michezo ya CHADEMA
Vyombo vingine pia vya habari vimewasusa Chadema baada ya kuambiwa picha za mkutano wasipige wawe wanasubiri watakazopewa na Chadema wenyewe ziwe video au picha za kawaida
Sasa chombo Cha habari unatuma mwandishi mpiga picha anaambiwa kaa Hapo subiri tutakupa picha tuliyopiga wenyewe kwa muda wetu at the end of the day wanampa picha waliyochakachua ya 2015 ya video na still picture!!! Mhariri gani atakubali picha au video ambayo haikuchukuliwa na mwandishi wake au mpiga picha wake?

Chadema wamedhibiti Media hasa kwenye mikutano yao.Media wakaona isiwe kesi endeleeni na mambo yenu Chadema mkitaka kuchakachua chakachueni mtajijua na watazamaji au wazungu wenu mnaowatapeli
 
Mpuuzi mwingine huyu kwanini usiulize tbc wanafanya kazi gani?? Ujinga uliowajaa mpk kwenye UTI wa mgongo kaukizaneni Lumumba bubu.
 
Swali lingekuwa hivi,mbona vyombo vya habari vinaogopa kurusha habari zao?
 
Swali lingekuwa hivi,mbona vyombo vya habari vinaogopa kurusha habari zao?
Haviogopi Chadema haitaki uhuru wa vyombo vya habari

Uhuru wa chombo cha habari ni pamoja na kuruhusu warushe watakavyo chochote au wasirushe wasichotaka

Chadema wanalazimisha kuwa vyombo vya habari lazima warushe picha zao na video zao walizo edit na kama ni mkutano vyombo vya habari lazima viurushe wote watake wasitake sasa uhuru wa vyombo vya habari hapo uko wapi? Wakikataa wanafukuzwa mkutanoni kama TBC walivyofukuzwa SASA uhuru wa chombo cha habari uko wapi hapo?

Sasa kama vyombo vya habari haviruhusiwi kujipigia picha na video za mikutano anytime wasubiri zilizokuwa edited toka Chadema uhuru wao uko wapi?
 
Sheria na miswaada ya hati za dharura zinazokandamiza Uhuru na haki na maendeleo mbona mnaziepuka kuzizungumzia?
 
Sheria na miswaada ya hati za dharura zinazokandamiza Uhuru na haki na maendeleo mbona mnaziepuka kuzizungumzia?
Miswada yote hiyo ya dharura imepitishwa na bunge wabunge wa Chadema wakiwa wabunge na hakuna mbunge wa Chadema aliyetoka nje ya bunge kupinga mswada wa dharura wowote .Walikuwemo na posho walizitafuna
 
Miswada yote hiyo ya dharura imepitishwa na bunge wabunge wa Chadema wakiwa wabunge na hakuna mbunge wa Chadema aliyetoka nje ya bunge kupinga mswada wa dharura wowote .Walikuwemo na posho walizitafuna
Wakwetu wakiwa wapi
 
Ukilinganisha kampeni za chadema mwaka huu na 2010 & 2015, kuna kitu hakiko sawa. Lisu amekuwa kama katelekezwa.
Ali force ugombea uraisi hakupata ridhaa ya makundi yote ndani ya Chadema
 
Taarifa rasmi toka kwangu saa hii Giza linaingia sehemu mgombea uraisi Chadema Yuko Media na Wana jamii forums jiandaeni kupokea picha edited ya still picture na video
I wish you a happy viewing of chakachuadi picture to all viewers
 
media na hili giza huko mgombea chadema aliko limeingia jiandaeni kupokea picha chakachuliwa za sehemu zote alizopita leo wahariri kazi kwenye to accept or reject
 
TBC gani Tena? Au wale mliowafukuza Sasa umesahau unataka ndo wafanyekazi? Nyumbu hovyo kabisa.
Sasa km anajua wanaofanyakazi yakutoa taarifa ndio tvccm siakawaombe wao!! Hapa ngoma inapga Kijiji kea kijiji na salaam mnafikishiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…