Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Mnatumia nguvu nyingi kwa Mh LISSU aliyemfanya kipara kurudi gereji kutibiwa ...mbona kuna wagombea wengi tu LIPUMBA,RUNGWE,MEMBE why LISSU?
 
Nasikia wabunge wooote wa Morogoro wa CDM wameshakatwa na NEC.😀
 
Makamu wa Rais (mgombea mwenza) mtarajiwa kupitia chadema Salum Mwalimu leo anatarajiwa kuhutubia maelfu ya wananchi wa wilaya ya Moshi, Siha na Hai ambalo ni jimbo lililo chini ya Chadema.

Sawa, tunasubiri kusikiliza hoja zake.
 
Hao wananchi wamehoji lini? Na wapi? Wakati gani?
Tusidanganyane
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Yan Umekaa unahesabu kura kwenye hicho kiTecno chako na ukaziamini?😀

Ingekuwa rahisi hivo mgombea wenu moyo usingesimama!
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
acha kukalili ndugu, hutakiwi kuishi kwa kukalili.
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Hahahahaha !!! Lumumba mmeishiwa hoja mnakuja na viroja!!!

Naskia mnashikana uchawi saivi huko Eti Kuna watu wanamuhujumu mwenyekiti na Chama??? Ya kweli hayo???
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Nakuunga mkono kabisa,
Kwa kata ya masaki peke yake Lissu atapata hizo Kura.
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Lowassa alipata mil 6 sababu zilikuwa kura za vyama vinne vya ukawa. Huyu Lissu atapata laki na nusu.
 
Ila pia kumbuka raia hawako upande wenu
 
Inaonekana hamkujipanga kabisa miaka mitano ya kampeni na kuwanyanyasa wapinzani lakini bado hamjiamini, hadi mnaenda mapumziko pumzi imekata, mlijua mtateleza tu sasa Lisu anasema ushindi upatikane kwenye sanduku la kura
Yeyote anaepumzika ni pale anapojua ana ushindi tayari?
Mshindani wetu ni sawa na Sumba kupambana na sungura, kwa hiyo hana madhara.
 
Delete ccm oct28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…