Hongera buk 7 ni zako lakini jiandae kupulia machine ya ICU baada ya october 28, Maana hutaamini kitakachotokea!
 
Kama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Ingine imepata moto
 
Weka video hapa tusikie wote
 
Lissu ni mwepesi sana na uwepo wake haujaweza kuzijibu hoja kuhusu matatizo ya chama chake na ubinafsi wa miaka na miaka.
 
Umenikumbusha hawa watu, Kolimba, Membe, kinana, nape, makamba na babake daaah walijaribu kumkosoa Mwenyekiti Kolimba Roho ilitoka, Wengine walitembezwa kwa magoti
 
Dah we jamaa umegusa sana upande wetu wanasingida, ukiangalia upande wa magharibi kule kiomboi hali ni mbaya sana hata mbunge wetu mwigulu nchemba sioni anachokifanya zaidi ya kuongea kinyiramba tu..

ile lami ya kutoka misigiri mpk kiomboi baada ya kujengwa hakuna kingine kilichoendelea vijiji havina umeme wala maji yupo yupo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…