mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Hongera buk 7 ni zako lakini jiandae kupulia machine ya ICU baada ya october 28, Maana hutaamini kitakachotokea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingine imepata motoKama umati wa Lowasa 2015 ulipata kura milioni sita ,umati wa mikutano wa Lisu ambao ni kama asilimia kumi ya wa Lowasa atapata kura laki sita maximum kwa Hesabu za ratio analysis hatazidi hapo
Unajidhihirisha ulivyo utopolo kwa huyo rolimodo wako.
Nakuhurumia sana
Mfungieni ingine ya paso cc 990 ndio itamfaaAjitahidi amfikie ana mgwira
Lissu hataamini macho yake atakavyochakazwa
Weka video hapa tusikie woteNdugu zangu,
Tundu ameingia mkoa wa Morogoro na sera ya kuahidi haki endapo atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini la kushangaza kila alipopita wananchi wamehoji wakitaka akabadili katiba ya Chadema kwanza iruhusu wanachama kuuhoji uongozi bila kufukuzwa la sivyo ni mwongo.
Hoja hii imemfanya Lissu na timu yake ya kampeni kuwa mbogo wasijue la kufanya hususani kutoa majibu stahiki kwa wananchi walio wengi.
Ama kweli urais sio urahisi.
Lissu ni mwepesi sana na uwepo wake haujaweza kuzijibu hoja kuhusu matatizo ya chama chake na ubinafsi wa miaka na miaka.Ndugu zangu,
Tundu ameingia mkoa wa Morogoro na sera ya kuahidi haki endapo atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini la kushangaza kila alipopita wananchi wamehoji wakitaka akabadili katiba ya Chadema kwanza iruhusu wanachama kuuhoji uongozi bila kufukuzwa la sivyo ni mwongo.
Hoja hii imemfanya Lissu na timu yake ya kampeni kuwa mbogo wasijue la kufanya hususani kutoa majibu stahiki kwa wananchi walio wengi.
Ama kweli urais sio urahisi.
Nawaona Makamanda Uchwara tu
Makamanda Uchwara wanaenda kula pilau la bure
Citizen Radio Representative naona havai tena barakoa
Makamanda Uchwara wanaenda kula pilau la bure