Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Singida ni mkoa maskini Sana ukipita kwenda vijijini utashangaa kuona jinsi kulivyo Giza.ilongero Kijiji cha zamani hamna kitu zaidi ya majungu ukienda mbele huko vijiji vya ngamo, gh'ata hakuna umeme mpaka Singa huko mkalama hamna umeme Wala maji.

Ukija vijiji vya barabara kuu ya arusha umeme hamna.nguzo zimewekwa karibu mwaka wa pili huu sijui wanasubiri mpaka kalimani waziri aje apatie kick.vijiji vya bonde la ufa hamna kitu umaskini umejaa. Ukija mjini mpaka Wana nchi wamemkataa mbunge sima kwa kuwa hamna maendeleo zaidi ya taa za barabarani na lami mpya mitaa michache haizidi hata mitatu, Mungumaji tu yenyewe haina umeme na iko ndani ya manispaa aibu sana.

Haya sasa Lissu amejitokeza ndugu yenu kabisa msimuache hivihivi mpeni kura zenu mtoto wa homeboy. Singida inapaswa iende mbele Sana inaunganisha majiji Arusha, Mwanza, Mbeya na Dodoma ni mkoa muhimu katika uchumi hasa kwenye usafirishaji ila umeachwa nyuma sana hauna hadhi.

Mwisho kabisa viongozi wa singida rekebisheni jengo lenu la CCM na jengo letu la TRA lipigeni rangi liwe na muonekano mzuri.
Those who vote decide nothing, those who count the votes decide everything
 
Ndugu zangu,

Tundu ameingia mkoa wa Morogoro na sera ya kuahidi haki endapo atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lakini la kushangaza kila alipopita wananchi wamehoji wakitaka akabadili katiba ya Chadema kwanza iruhusu wanachama kuuhoji uongozi bila kufukuzwa la sivyo ni mwongo.

Hoja hii imemfanya Lissu na timu yake ya kampeni kuwa mbogo wasijue la kufanya hususani kutoa majibu stahiki kwa wananchi walio wengi.

Ama kweli urais sio urahisi.
Endeleeni kutunga porojo ila tunakoelekea mtajua kuwa watanzania wamewachoka kiasi.

✓Habari yako haina chanzo chochote wa ushahidi wa hayo uyazungumzayo.

✓Kama si 2020 basi itakuwa 2025 kama si 2025 basi 2030 jiandaeni kuachia madaraka
 
To be honest Chadema is unstoppable , Magufuli and its government banned political Issues by unallowed Rallies, almost Five years....the game has change now chadema is seen as rullig party and ccm is seen as Main opposition party Goodbye cccm ...time for burial 28/10

Magu don't expect our sympathy
 
Magu has little knowledge of history, he could otherwise have learned from Mobutu, Gaddaffi, Mugabe and the like.
Unapomuongelea Rais Magufuli unatakiwa kuchunga uandishi wako.

There is freedom of writing.
But
We cant guarantee your freedom after writing
 
Hahahaàaaaaaaa walamba miguu ya mabeberu sheeda, andikeni kiswahili tu.Magu ni shughuli tofauti, kushindana naye si kaxi rahisi, amewAchia siku mbili tu mnajihisi ni unstoppable.Hahaha kesho chuma kinarudi kuuza sera, huku walalamikaji wakijiita unstoppable. Stay tuned
 
  • Thanks
Reactions: mmh
To be honest Chadema is unstoppable , Magufuli and its government banned political Issues by unallowed Rallies, almost Five years....the game has change now chadema is seen as rullig party and ccm is seen as Main opposition party part Goodbye cccm ...time for burial 28/10
Check your English mmmmmmmm
 
Hahahaàaaaaaaa walamba miguu ya mabeberu sheeda, andikeni kiswahili tu.Magu ni shughuli tofauti, kushindana naye si kaxi rahisi, amewAchia siku mbili tu mnajihisi ni unstoppable.Hahaha kesho chuma kinarudi kuuza sera, huku walalamikaji wakijiita unstoppable. Stay tuned
Only nonsense idiots will understand you.
 
Unapomuongelea Rais Magufuli unatakiwa kuchunga uandishi wako.

There is freedom of writing.
But
We cant guarantee your freedom after writing
kizazi cha waoga Tanzania kishatoweka zamani sana comrade.

yeyote anayehisi kunyanyaswa kwa maandishi ya mtu mwingine apambane na hali yake mwenyewe hakuna namna!
 
Back
Top Bottom