Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Juzi kati heshimiwa lissu baada ya kuzindua kampeni kwenye kanda kumi, tuliambiwa kwamba angeanza kutumia Helkopta kwenye kampeni za kata namajimbo.
baadae zikaja taarifa kwamba mamlaka ya anga wamekataa kutoa kibali cha kurusha chopa hiyo japo wenyewe walikuja kukanusha. Leo ni siku ya tatu kama si ya nne, hamna taarifa yoyote.
Viongozi wangu wa chama mnakwama wapi? Kwa ukubwa wa hii nchi ingekuwa vizuri kama mheshimiwa rais mtarajiwa angetumia huu usafiri maana unamrahisishia kufika maeneo mengi kwa muda mfupi.
Cc Salary Slip