Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Ni kweli ndugu,tulikuwa tunasikia mabarabara,madaraja sijui mandege,sasa hivi ukimwambia mtu habari hizi unaonekana kitukoKabla ya huyu mwamba kurejea toka ulaya watu wengi walikuwa wamekata tamaa kabisa na walishafanya maamuzi kwamba huu mwaka hawatapiga kura. Ila baada ya Lissu kurudi tu na kutangaza kwamba atapambana na jiwe watu wameonyesha imani kubwa kwake na sasa wameamua kwenda kupiga kura kwa wingi ili kuiondoa ccm madarakani.
Lissu ndio habari ya mjini kwa sasa. Ni Yeye2020