Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli hana hotuba , anachokitoa ni amri za Ubabe! udikiteita! amri za Ufalme etc Hana hotuba maana hana intellect ya kutoa hotubaPamoja na kwamba vituo vyote vya TV hapa nchini via mmulika JPM na magazeti.
Lakini Moto wa Lisu kupitia mitandao ya kijamii nizaidi.
Najiulza Kama vyombo habari vingetoa uwiano ulio sawa wa kurusha habari zao , Lisu angekuwa amemaliza CCM mapema kabisa.
Japo Kama kwa kupitia mitandao bado mishale yake imekuwa Ni ya sumu Kali kwa CCM.
Hahaha za Magufuli zina chosha, imagine tangu 2015 unasikiliza wimbo ule ule mpaka leo !Pamoja na kwamba vituo vyote vya TV hapa nchini via mmulika JPM na magazeti.
Lakini Moto wa Lisu kupitia mitandao ya kijamii nizaidi.
Najiulza Kama vyombo habari vingetoa uwiano ulio sawa wa kurusha habari zao , Lisu angekuwa amemaliza CCM mapema kabisa.
Japo Kama kwa kupitia mitandao bado mishale yake imekuwa Ni ya sumu Kali kwa CCM.
Ndo ujue ni kwa jinsi gani Lissu ni balaaa na moto wa kuotea mbali! Yaani wameminya vyombo vyote vya Habari kuonesha mikutano ya Lissu, wamepiga pini hadi live streaming ila shujaa aliyeponywa risasi 16 na Mungu anazidi kutakata tu. Lissu ni 🔥Pamoja na kwamba vituo vyote vya TV hapa nchini via mmulika JPM na magazeti.
Lakini Moto wa Lisu kupitia mitandao ya kijamii nizaidi.
Najiulza Kama vyombo habari vingetoa uwiano ulio sawa wa kurusha habari zao , Lisu angekuwa amemaliza CCM mapema kabisa.
Japo Kama kwa kupitia mitandao bado mishale yake imekuwa Ni ya sumu Kali kwa CCM.
Jiwe GoviKwani Yericko Nyerere anasemaje?
Tundu Lissu ni hazina kwa taifa. Watanzania tumlinde huyu mwamba kwa nguvu zote. Yeyote atakayetaka kumdhulu tumwangamize yeye kwanza kabla hata hajamgusa mpendwa wetu.
Kabisa, Safari hii Hatutaki Ujinga...Lissu analindwa na Mungu, analindwa na Jumuiya ya Kimataifa, analindwa na Umma wa Watanzania, Magustinho na Watu wake Wasiojulikana asogeze tena pua yakeTundu Lissu ni hazina kwa taifa. Watanzania tumlinde huyu mwamba kwa nguvu zote. Yeyote atakayetaka kumdhulu tumwangamize yeye kwanza kabla hata hajamgusa mpendwa wetu.