..kwa taarifa yako, acaccia walikwenda mahakamani.
..na kesi hiyo ilisitishwa baada ya majority share holders kukubali kuwanunua minority share holders.
..kwa hiyo mpaka hapo TL alikuwa sahihi aliposema tutashitakiwa.
..jambo lingine alisema ripoti zile ni professorial rubbish, ni ubabaishaji mtupu.
..sasa hilo limethibitika baada ya serikali kulipwa fedha[300 mil] kiduchu kulinganisha na kile ambacho tulielezwa kwamba accacia wameiba[191 bil].
..zaidi, tuliahidiwa kwamba makinikia hayatasafirishwa nje tena, lakini sasa hivi yanasafirishwa kama mwanzo.
..tuliahidiwa kwamba smelter itajengwa hapa nchini, lakini hakuna anayezungumzia jambo hilo tena.