Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
2520966_IMG-20200916-WA0147.jpg
Tulia sindano iingie vizuri.pongezi nyingi kwa Lissu.View attachment 1571780
 
Haina ubishi kwamba Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika Tanzania yetu.

Mambo yote makubwa yameorodheshwa humu kwenye hii video.

 
Mwaka huu chadema wanakamilisha ratiba, mitandao ya kijamii wanaeneza fake images.
Wagombea wa CCM kama Tapeli Gwajima inabidi wacheze singeli na kufanya ujinga mwingine maana Sera hawana, Ilani haieleweki.

Kwa namba moja ndio kabisaa utasema waziri wa ujenzi.

Hao wabunge ndio pakachaa kabisaa nonsense
 
Watu wa DAR ES SALAAM huwa hawajifichi wakiamua kukudharau wala hawakufichi ona huu msafara wa Lisu siku unaenda kwenye uzinduzi wa kampeni MBAGALA ulivyodharaulika na watu wa Dar es salaa hadi unaingia uwanjani njia nzima watu walionyesha kutokujali wala kuwa na habari naye ndio maana akakimbia mji kukimbilia mikoani kwa aibu...
Aliamua kuingia kariakoo ili apige selfie kuonyesha ana watu
 
Haina ubishi kwamba Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika Tanzania yetu



Uchumi wa kati sasa tumefika
Treni za umeme nazo zitafika
Tanzaniaaa say inasongaaa

Bwawa kubwa la umeme nalo linajengwa
Umeme wa uhakika nao tutapata
Magufuli ndiye kiongoziiiiiii

CCM number one.
Tanzania number one
Magufuliiiii number oneeeeee

Huyu ndiye kiongozi
mwenye msimamo
wala hayumbishwi
Mzalendo mcha Mungu na wapinzani wanajua kura watampa zoteee Magufuli number one ni Rais wa Africa.

ii imechukua muda sana kupata kiongozi
Ru Rushwa ilikisiri maadili mabaya kazini
Mwa mwamba Magufuli hayo yote katowesha.

He've made a history we never been at
Le let's join him, Magufuli ni Kiongozi
Le let's vote for him, Magufuli ndiye Rais.


Matatizo ya kukaa kwa shemeji haya ,ukishiba chakula chake unakuja kujaza ujinga humu,,Hama kwa shemeji yako upate akili
 
Haina ubishi kwamba Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika Tanzania yetu



Uchumi wa kati sasa tumefika
Treni za umeme nazo zitafika
Tanzaniaaa say inasongaaa

Bwawa kubwa la umeme nalo linajengwa
Umeme wa uhakika nao tutapata
Magufuli ndiye kiongoziiiiiii

CCM number one.
Tanzania number one
Magufuliiiii number oneeeeee

Huyu ndiye kiongozi
mwenye msimamo
wala hayumbishwi
Mzalendo mcha Mungu na wapinzani wanajua kura watampa zoteee Magufuli number one ni Rais wa Africa.

ii imechukua muda sana kupata kiongozi
Ru Rushwa ilikisiri maadili mabaya kazini
Mwa mwamba Magufuli hayo yote katowesha.

He've made a history we never been at
Le let's join him, Magufuli ni Kiongozi
Le let's vote for him, Magufuli ndiye Rais.

Amini nakwambia magufuli anaweza kunyimwa kura hata na mke wake tu!!! Tena hao CCM wengi ndo watamchagua Lissu!!

We hujiulizi kwa nini magufuli ndani ya CCM tu alichapisha fomu moja tu ya kugombea uraisi??? Alijua hata CCM wenzake tu hawamtaki
 
Kweli vijana wa kisasa mna matatizo makubwa sana. Ukiwa na Akili tumimi timilifu huwezi kumpa Magufuli wala CCM kura yako.

1. Nyerere mkapa mwinyi na kikwete woote wamejenga mabwawa ya umeme
2.Nyerere kajenga Reli mwinyi pia kajenga.
3.Marais wote wamejenga viwanja vya ndege.
4.wote wamejenga barabara hospital nk nk

MAGUFULI ndio hopless kabisa hajafanya kitu chochote
 
Back
Top Bottom