Mafisiem mkihitaji mafuso napatikana kujaza watu uwanjani
 
Haina ubishi kwamba Magufuli amefanya mambo makubwa sana katika Tanzania yetu.

Mambo yote makubwa yameorodheshwa humu kwenye hii video.

 
Mwaka huu chadema wanakamilisha ratiba, mitandao ya kijamii wanaeneza fake images.
Wagombea wa CCM kama Tapeli Gwajima inabidi wacheze singeli na kufanya ujinga mwingine maana Sera hawana, Ilani haieleweki.

Kwa namba moja ndio kabisaa utasema waziri wa ujenzi.

Hao wabunge ndio pakachaa kabisaa nonsense
 
Aliamua kuingia kariakoo ili apige selfie kuonyesha ana watu
 

Matatizo ya kukaa kwa shemeji haya ,ukishiba chakula chake unakuja kujaza ujinga humu,,Hama kwa shemeji yako upate akili
 
Amini nakwambia magufuli anaweza kunyimwa kura hata na mke wake tu!!! Tena hao CCM wengi ndo watamchagua Lissu!!

We hujiulizi kwa nini magufuli ndani ya CCM tu alichapisha fomu moja tu ya kugombea uraisi??? Alijua hata CCM wenzake tu hawamtaki
 
Kweli vijana wa kisasa mna matatizo makubwa sana. Ukiwa na Akili tumimi timilifu huwezi kumpa Magufuli wala CCM kura yako.

1. Nyerere mkapa mwinyi na kikwete woote wamejenga mabwawa ya umeme
2.Nyerere kajenga Reli mwinyi pia kajenga.
3.Marais wote wamejenga viwanja vya ndege.
4.wote wamejenga barabara hospital nk nk

MAGUFULI ndio hopless kabisa hajafanya kitu chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…