Amini nakwambia magufuli anaweza kunyimwa kura hata na mke wake tu!!! Tena hao CCM wengi ndo watamchagua Lissu!!

We hujiulizi kwa nini magufuli ndani ya CCM tu alichapisha fomu moja tu ya kugombea uraisi??? Alijua hata CCM wenzake tu hawamtaki
Mkuu oktaba ni mwalimu mzuri
 
Mwaka huu chadema wanakamilisha ratiba, mitandao ya kijamii wanaeneza fake images.
Halafu njia aliyopita alvizia kwenye watu wengi akitegemea kupata washangiliaji njiani.

Njia fupi ya kwenda mbagala kutoka ufipa kinondoni makao makuu ya Chadema hadi mbagala ilikuwa ile ya kupitia posta ,salender halafu agha khan hospital kisha posta ya zamani halafu unakamata kilwa road hadi mbagala

Yeye akatoka ufipa kinondoni hadi ferry hadi kigamboni hadi Toangoma kote anazurura kutafuta watu labda watamsimamisha au kujipanga barabarani wamshangilie hakupata hadi anaingia mkutanoni

Alipiga kona weeee kutafuta washangilia barabarani akawakosa pamoja na mipikipiki mingi aliyokodi na gari la matangazo kumpigia chapuo!!

Dar es salaam mwaka huu Chadema imewadodea
 
Tusipompa kura Magufuli tutampa nani sasa.
 
Umeandika thread 'kivivu' Inaonyesha Ni mtu uliekosa matumaini na kukata tamaa na kulazimisha furaha iliyobebwa na uchungu!

Lissu President!
 
NEC watapika data et magufuli kapita kwa 90% ,kiuhalisia magu amechokwa na Watanzania ndo maana nw anabwabwaja 2 hana hoja za msingi za kushawishi uma
 
Amini nakwambia magufuli anaweza kunyimwa kura hata na mke wake tu!!! Tena hao CCM wengi ndo watamchagua Lissu!!

We hujiulizi kwa nini magufuli ndani ya CCM tu alichapisha fomu moja tu ya kugombea uraisi??? Alijua hata CCM wenzake tu hawamtaki
Ccm tuna imani kubwa sana na Magufuli ndio maana tulimuacha apite bila kupingwa.

Hilo swali umewahi kumuuliza Mbowe kwanini mwenyekiti ni yeye tu miaka yote wakati anajua wazi wanachadema hawamtaki.
 
Comrade ni mjinga tu ndio anaweza kusimama hadharani na kupayuka kuwa Magufuli hajafanya kitu. Huo ujasiri wa kuwa kwenye kundi la wajinga umeutoa wapi?
 
Sasa hivi watu wengi hasa maeneo ya mijini wapo kimya nadhani wanasubiria tar 28 wamchague mtu kimya kimya.Hii ni sawa na kumkimbiza mwizi kimya kimya lazima atapiga kelele mwenyewe.
 
Magufuli akija Dar watasombwa watu kutoka Maneromango, Msanga na Bungu kuja kujaza viwanja maana itakuwa aibu kwanza watu tuko bize na Lissu..Otherwise wavunje kibubu wamlete Drake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…