antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Ulimsikia mama Maria Nyerere?Nafikiri wewe unafura kwa kutoelewa style ya CCM tu. Katika miaka 25 iliyopita, imekuwa ni utamaduni wa CCM kuendesha kampeini kama burudani badala ya stress; mwanzoni walikuwa wanatumia TOT baadaye wakaongezea wasanii binafsi. Kwa hiyo hao wasanii unaowaona kwenye kampeini za CCM siyo kwamba ni utaratibu umeibuliwa mwaka huu tu, bali ni jadi ya CCM. Diamond alitambulishwa kwa umma wa watanzania na kampeini za CCM za mwaka 2010!
Na 70% ya hao ni watoto80% ya umati kwenye mikutano ya mgombea wa Urais wa CCM wanakwenda kushangaa wasanii!!
Hivyo alipelekwa shule akakue? nasio kuelimika!!!Hapana ile ada ilikua child care amasivyo angeharibu kitaa.
Kama Mama Nyerere alilazimishwa kwenda kuongeza vichwa vijae,ni wangapi hulazimishwa?Ulimsikia mama Maria Nyerere?
Lisu alisema yeye maarufu kuliko Lowasa kiko wapi sasa? watu anapata kiduchu hadi Chadema wanatumia picha za Lowasa za 2015 kumfichia aibuKwani hujui kua LOWASA alikua kiongozi wa ukawa yaani muunganiko wa vyama vyote vya upinzani hivyo watu lazima wawe wengi? Unamlinganisha aje na mtu mmoja ambae amesimama yeye mwenyewe pekee na chama chake kimoja bila muunganiko?
[emoji23][emoji23] Tunawatembezea SPANA TU HAWA.[emoji373][emoji380][emoji1015][emoji1009]Mataga mpaka mtavaa boxer kichwani[emoji16][emoji16]
Tutaendelea kusema Meko HATUKUTAKIIIII, TOKAA KWETU HAPA..Endeleeni Mumjaza Upepo
Nadio maana Mkaitwa majina ya Tanapa kuleTutaendelea kusema Meko HATUKUTAKIIIII, TOKAA KWETU HAPA..
HADI WATOTO TUNAMTAKA LISSU.View attachment 1572053
Anayevuma baharini ni papa na wengine wamo.Ameandika mdau @dr.johnheshima huko mjini Instagram
Ni swali jepesi lenye jibu la ndio au hapana, lakini kabla hujajibu linahitaji tafiti isiyo rasmi kujihakiki.
Iko hivi, bi mkubwa, mamaake mwenyewe yupo mjini baada ya kaziara kafupi ka kuwatembelea marafiki zake wa zamani miji kadhaa ya kusini mpaka Kaskazini mwa Tanzania(kama mgombea vile [emoji23])
Wakati tumekaa tukipiga stori jinsi alivyoona mabadiliko ya nchi, maana kuna miji imepita miaka 20 tangu alipoenda mara ya mwisho. TBC wakawa wanaonyesha nyomi la kampeni za @tunduantiphaslissu akiwa Mbarali. Nikamsikia akisema "NINGETAMANI APITE KASULU NIKIWA NIMERUDI, NAMI NIKAMUONE" Basi nami nikamjibu kimasikhara tu "tuombe uzima utamuona tu mama yangu, bado kuna miji mingi mnaweza kukutana huko"
Baada ya kumjibu hivyo huku TBC wakamuonesha rais Magufuli akimvisha kofia mwanamuziki @officialalikiba__ akaniuliza ile kofia ni ya nini!? Nikamjibu ni zawadi ya heshima na sio yeye wakwanza alishamvisha diamondplatnumz na @harmonize_tz akauliza tena mbona mikutano ya @chadematzofficial sioni wasanii!?
Nikamjibu hawana na nyomi wanakusanya na hapo hapo nikamuuliza "mama unampenda Sana Lissu" jibu lake ndio lilonifanya nijiulize HIVI NI KWELI!? Nikaona sio mbaya nikawauliza na ndugu zangu hapa
HIVI NI KWELI!?
Mama Alinijibu hivi "SIO KWAMBA NAIPENDA CHADEMA WALA LISSU, NAMPENDA SANA MAGUFULI ILA NATAKA KUMUONA LISSU MAANA SIMFAHAMU NA NIKASHANGAE MIUJIZA YA MUNGU...
Kwa hiyo unakubali kuwa Lowasa alipata watu wengi mikutanoni kwa kuwa aliungwa mkono na UKAWA NA PIA KUWA ALIPATA KURA nyingi kwa kuwa aliungwa mkono na UKAWAKwani hujui kua LOWASA alikua kiongozi wa ukawa yaani muunganiko wa vyama vyote vya upinzani hivyo watu lazima wawe wengi? Unamlinganisha aje na mtu mmoja ambae amesimama yeye mwenyewe pekee na chama chake kimoja bila muunganiko?
Na hawa watapiga kura?[emoji23][emoji23]Nadio maana Mkaitwa majina ya Tanapa kule
Mtoto Atapiga kura hahaha
Tanzania nchi ya Vijana Vilaza
We jamaa niaje! Unataka kusema umati unaohudhuria mikutano yote ya sisiem hadi wanafunzi wote ni wapiga kura? Na ndio unakuja na hoja kua kusema atapata kura nyingi kisa mikutano yake inafurika senene wa kijani...? Tafakari kwa kina jamaa angu majibu unayo...Kwa hiyo unakubali kuwa Lowasa alipata watu wengi mikutanoni kwa kuwa aliungwa mkono na UKAWA NA PIA KUWA ALIPATA KURA nyingi kwa kuwa aliungwa mkono na UKAWA
Kwa hiyo unakiri Kuwa CHadema mgombea uraisi alipata kura nyingi kwa kubebwa na UKAWA kwa hiyo unakiri wazi kuwa kwa sasa hali mbaya kwa mgombea uraisi wenu Lisu KUWA ANAPATA WATU WACHACHE NA ATAPATA kura chache kwa sababu mbeleko ya UKAWA ya kumbeba mgongoni haipo!! Kwa hiyo unamtangazia mapema kabisa kuwa keshashindwa uchaguzi kwa kukosekana UKAWA
Hata mimi naona CHADEMA bila UKAWA hamna kitu .Mbeleko ya UKAWA ndio iliwabeba 2015
Asante ARUSHA kama Lisu alifikiri huko ni shimo la kukimbilia mumelithibitipaliokua pamebaki pekee tegemeo la chadema ni moshi na arusha:
Moshi kaenda kapigwa mawe yeye na mwenye kiti wake, arusha mambo ndo kama ivi
kwa kifupi mwaka mtam sana huu,
Sawa MkuuKwa Sasa hivi aendelee kuwa mburudishaji tu na kucheza nyimbo nyingine nyingi kama hizo.
Tunaye Magufuli anatosha.
Mitano mingine kwa Magufuli.