Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Wasalaam, natumai kila mtu anayeingia mtandaoni anajionea mada Kali zinazomzungumzia zaidi T. Lisu. Kusema ukweli Lisu ameshangaza watu wengi kwa ujasili alio nao wa kumsema waziwazi Magufuri. Kutokana na Lisu kulitumia vyema jukwaa la siasa, ccm wamejikuta wakichanganyikiwa, Magufuri bado anaamini Mpaka Sasa yeye Ni Raisi kwa kutumia kivuli Cha Katiba mbovu tuliyonayo, ndiyo maana hataki kuvunja baraza la mawaziri Kama alivyofanya do Shein...
Bila ujasiri wa Lissu hakuna mtu mwingine aliyewahi kupambana live na jpm. Ilikuwa uchague moja tu kufa au kuishi basi. Kawaulize akina kinana et al
 
Ni jambo lililo wazi na lisilopingika kwamba Lissu unahitaji kwenda vijijini kutafuta kura huko. Huko vijijini watu wamepigika kweli kimaisha. Kama ni umasikini wa kipato huko umetamalaki sana. Ukijua kucheza karata yako vizuri naamini utapindua meza asubuhi na mapema. Nenda Lissu! Nendaaa! Nendaaaa! Neeeendaaaaaa!
Ni kweli na Baada ya hapa ataingia kwenye miko ya chini kimaemdeleo
Ratiba haijaisha mkuu kuwa mvumilivu.
 
CHADEMA wameanza kuiga style za Magufuli baada ya kiki zao za uzushi kuvuma. Huyu mzee atawapasua vifua.
 
Kauli moja ya jana imenifurahisha sana......
Wananchi msikubali kuongoza na mbunge au diwani ambaye hamkumchagua....

Nadhani kuna haja ya kutafuta namna ya kuwakataa katakata kwa kutumia nguvu ya umma hawa waliopita bila kupingwa.....
 
Tutapigana kwa hali na Mali kufanikisha kampeni za LISSU!
... NB: tofautisheni michango ya kampeni na rushwa ya kununua jogoo kwa laki moja!

😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Mapokezi ya Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu, Chitete - Momba, Hakuna mgombea Urais amewahi kufika tangu Tanzania inapata uhuru, eneo ambalo wananchi wanatatizo kubwa la Maji, wananchi wanakunywa maji pamoja na wanyama, hakuna hospitali ya wilaya.
 
giphy.gif
 
Mapokezi ya Mgombea Urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu, Chitete - Momba, Hakuna mgombea Urais amewahi kufika tangu Tanzania inapata uhuru, eneo ambalo wananchi wanatatizo kubwa la Maji, wananchi wanakunywa maji pamoja na wanyama, hakuna hospitali ya wilaya.
Washukuru Sana tunae Jembe atawaletea maendeleo halisi siyo ya midomoni ya kina magufuli et al
 
Back
Top Bottom