Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Nafikiri wewe unafura kwa kutoelewa style ya CCM tu. Katika miaka 25 iliyopita, imekuwa ni utamaduni wa CCM kuendesha kampeini kama burudani badala ya stress; mwanzoni walikuwa wanatumia TOT baadaye wakaongezea wasanii binafsi. Kwa hiyo hao wasanii unaowaona kwenye kampeini za CCM siyo kwamba ni utaratibu umeibuliwa mwaka huu tu, bali ni jadi ya CCM. Diamond alitambulishwa kwa umma wa watanzania na kampeini za CCM za mwaka 2010!
Ulimsikia mama Maria Nyerere?
 
Navyo mjua jiwe alivyo mweupe kichwani na kiwewe cha jana bado unaweza ona leo anawanadi viongozi wa Chadema wachaguliwe badala ya wagombea wake.
 
Kwani hujui kua LOWASA alikua kiongozi wa ukawa yaani muunganiko wa vyama vyote vya upinzani hivyo watu lazima wawe wengi? Unamlinganisha aje na mtu mmoja ambae amesimama yeye mwenyewe pekee na chama chake kimoja bila muunganiko?
Lisu alisema yeye maarufu kuliko Lowasa kiko wapi sasa? watu anapata kiduchu hadi Chadema wanatumia picha za Lowasa za 2015 kumfichia aibu
 
Endeleeni Mumjaza Upepo
Tutaendelea kusema Meko HATUKUTAKIIIII, TOKAA KWETU HAPA..

HADI WATOTO TUNAMTAKA LISSU.
IMG_20200917_005018.jpeg
 
CCM kuendelea nayo ni hatari sana, watu wasio na kitu wamekuwa walengwa kwa maonyesho kidogo ya vitu vilivyo jengwa kwa uongo wa kuwadanganya.

Mkuu anakopa anatengeneza au kununua vitu vya muda na visivyo lenga usitawi wa watu. Baada ya muda mfupi vitakufa na kubakia na madeni makubwa ambayo mafukara hao hao watayalipa.

Sasa huyu mtu atanunua ndege zingine kwa mkopo sijui atajenga mavitu yasiyo na impact kwa mkulima kwa mkopo mwingine mara nyingi zaidi ni hatari mafukara hawa kuwa watumwa na ndipo tutasema majuto ni mjukuu.

Unalipishwa deni bila kujengewa mazingira ya wewe kupata pesa, unaminywa mshara unaongezewa deni, wafanyabiashara unaongezewa kodi, ukipata tatizo unafungwa unafirisiwa ukipinga au kusingiziwa unauwawa unaacha matatizo nyuma yako kibao.

Wandugu zangu waTZ ccm ni janga tuwaondoe kabla ya nyakati ngumu ambazo hatutaweza kusema wala kujitetea tunauzwa kwa faida ya mtu mmoja atakapo ondoka tutabaki uyumwani.
 
Ameandika mdau @dr.johnheshima huko mjini Instagram

Ni swali jepesi lenye jibu la ndio au hapana, lakini kabla hujajibu linahitaji tafiti isiyo rasmi kujihakiki.

Iko hivi, bi mkubwa, mamaake mwenyewe yupo mjini baada ya kaziara kafupi ka kuwatembelea marafiki zake wa zamani miji kadhaa ya kusini mpaka Kaskazini mwa Tanzania(kama mgombea vile [emoji23])

Wakati tumekaa tukipiga stori jinsi alivyoona mabadiliko ya nchi, maana kuna miji imepita miaka 20 tangu alipoenda mara ya mwisho. TBC wakawa wanaonyesha nyomi la kampeni za @tunduantiphaslissu akiwa Mbarali. Nikamsikia akisema "NINGETAMANI APITE KASULU NIKIWA NIMERUDI, NAMI NIKAMUONE" Basi nami nikamjibu kimasikhara tu "tuombe uzima utamuona tu mama yangu, bado kuna miji mingi mnaweza kukutana huko"

Baada ya kumjibu hivyo huku TBC wakamuonesha rais Magufuli akimvisha kofia mwanamuziki @officialalikiba__ akaniuliza ile kofia ni ya nini!? Nikamjibu ni zawadi ya heshima na sio yeye wakwanza alishamvisha diamondplatnumz na @harmonize_tz akauliza tena mbona mikutano ya @chadematzofficial sioni wasanii!?

Nikamjibu hawana na nyomi wanakusanya na hapo hapo nikamuuliza "mama unampenda Sana Lissu" jibu lake ndio lilonifanya nijiulize HIVI NI KWELI!? Nikaona sio mbaya nikawauliza na ndugu zangu hapa

HIVI NI KWELI!?
Mama Alinijibu hivi "SIO KWAMBA NAIPENDA CHADEMA WALA LISSU, NAMPENDA SANA MAGUFULI ILA NATAKA KUMUONA LISSU MAANA SIMFAHAMU NA NIKASHANGAE MIUJIZA YA MUNGU...
Anayevuma baharini ni papa na wengine wamo.
Wanaokwenda wanapokea nguvu za roho... Wanabatizwa na kuacha upagani.
Ndivo wazee wetu walivowashangaa wegeni mwishowe.....

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hujui kua LOWASA alikua kiongozi wa ukawa yaani muunganiko wa vyama vyote vya upinzani hivyo watu lazima wawe wengi? Unamlinganisha aje na mtu mmoja ambae amesimama yeye mwenyewe pekee na chama chake kimoja bila muunganiko?
Kwa hiyo unakubali kuwa Lowasa alipata watu wengi mikutanoni kwa kuwa aliungwa mkono na UKAWA NA PIA KUWA ALIPATA KURA nyingi kwa kuwa aliungwa mkono na UKAWA

Kwa hiyo unakiri Kuwa CHadema mgombea uraisi alipata kura nyingi kwa kubebwa na UKAWA kwa hiyo unakiri wazi kuwa kwa sasa hali mbaya kwa mgombea uraisi wenu Lisu KUWA ANAPATA WATU WACHACHE NA ATAPATA kura chache kwa sababu mbeleko ya UKAWA ya kumbeba mgongoni haipo!! Kwa hiyo unamtangazia mapema kabisa kuwa keshashindwa uchaguzi kwa kukosekana UKAWA

Hata mimi naona CHADEMA bila UKAWA hamna kitu .Mbeleko ya UKAWA ndio iliwabeba 2015
 
paliokua pamebaki pekee tegemeo la chadema ni moshi na arusha:
Moshi kaenda kapigwa mawe yeye na mwenye kiti wake, arusha mambo ndo kama ivi



kwa kifupi mwaka mtam sana huu,
 
Hizo media zimpe attention kafanya nini? Kuwasema vibaya viongozi wako, ni jambo la kizalendo? Sidhani kama media yoyote smart inaweza kufanya unavyofikiri.
 
Kwa hiyo unakubali kuwa Lowasa alipata watu wengi mikutanoni kwa kuwa aliungwa mkono na UKAWA NA PIA KUWA ALIPATA KURA nyingi kwa kuwa aliungwa mkono na UKAWA

Kwa hiyo unakiri Kuwa CHadema mgombea uraisi alipata kura nyingi kwa kubebwa na UKAWA kwa hiyo unakiri wazi kuwa kwa sasa hali mbaya kwa mgombea uraisi wenu Lisu KUWA ANAPATA WATU WACHACHE NA ATAPATA kura chache kwa sababu mbeleko ya UKAWA ya kumbeba mgongoni haipo!! Kwa hiyo unamtangazia mapema kabisa kuwa keshashindwa uchaguzi kwa kukosekana UKAWA

Hata mimi naona CHADEMA bila UKAWA hamna kitu .Mbeleko ya UKAWA ndio iliwabeba 2015
We jamaa niaje! Unataka kusema umati unaohudhuria mikutano yote ya sisiem hadi wanafunzi wote ni wapiga kura? Na ndio unakuja na hoja kua kusema atapata kura nyingi kisa mikutano yake inafurika senene wa kijani...? Tafakari kwa kina jamaa angu majibu unayo...

Wanao hudhuria kwenye mikutano ya Meko wengi wao ni sabu ya ushawishi wa wasanii, Fiesta ya bure... kiingilio miguu na fuso, trekta, power tiller, mabasi na kirikuu zinasomba watu vijijini huko lakini hakuna kipya, Lakini wanaoenda mikutano ya Lissu ni watu wenye akili zao timamu na wameacha shughuli zao nyingi tu kwa hiari yao na kwenda mikutano ya jamaa bila external force bali kwa ushawishi wa sera makini za Lissu na ndio wapiga kura hao.. Sio baba yenu anaetishia wapiga kura na kauli za kibabe..!

Makopo ya mbogamboga safari hii kazi mnayo....
 
Wagombea wapo wengi,sio lazima kuweka habari za Lissu kila mara.kwani Lissu ni nani mpaka kila siku na yeye awepo kwenye habari.kalifanyia nini hili taifa la Tanzania mpaka apewe umuhimu kama mnavyotaka nyinyi.
 
paliokua pamebaki pekee tegemeo la chadema ni moshi na arusha:
Moshi kaenda kapigwa mawe yeye na mwenye kiti wake, arusha mambo ndo kama ivi



kwa kifupi mwaka mtam sana huu,

Asante ARUSHA kama Lisu alifikiri huko ni shimo la kukimbilia mumelithibiti
Dar na ZANZIBAR kafungiwa vioo hana Chake kabisaaaaa mikoa ya kanda ya ziwa huko ndio kabisaaa wenye mtoto wao Magufuli wanamtaka mtoto wao Magudfuli hawamhitaji mtu wa singida

Mikoa ya kusini ni ngome ya Kassim Majaliwa huko hakatizi hapati kitu Lisu

MIKOA ya Pwani ndiko alikozaliwa Kikwete na anakoishi ni ngome yake ya kujidai Lisu hapati kitu.Kura kule hamna kitu

Mikoa ya kaskazini sehemu kubwa ni ngome ya LOWASA,SUMAYE na DK SLAA na akina OLE SENDEKA WABABE walioko CCM huko asahau kupata kura kuna wenyewe

Kanda ya mikoa ya Ziwa TANGANYIKA kuna mbabe mwenye ngome yake Mizengo Pinda lisu hawezi kukupenya

Kanda ya kati kuliko makao ,makuu ya CCM huko ni ngome ya CCM ndio kwetu nyumbani CCM hapo hapati kura mtu

Kanda ya nyanda za juu kusini kuna wenyewe wamerudi wenye nako akina DK Tulia Asubiri muziki wake

Arusha asanteni


Arusha hongereni
 
Back
Top Bottom