Viva Magu
 
Kiuhalisia umaarufu wa Lisu unapaa siku baada ya siku WAKATI umaarufu wa Rais Magufuli unashuka siku baada ya siku.

Kama kampeni hizi zingekuwa za miezi 6, huenda Rais Magufuli angeamua kujiondoa.

Rais Magufuli bila ya kusomba watu, kulazimisha wanafunzi na watumishi wa serikali kuhudhuria, na kugeuza mikutano yake kuwa matamasha ya muziki, kuna maeneo mengine ingekuwa aibu kubwa - angekosa hata watu wa kuwahutubia.

Wanaohudhuria mikutano ya Lisu ni watu wenye dhamira hasa. Ni watu wanaojigharamia na wanaomtafuta Lisu kwa njia zote. Ni watu wenye morali, wanaonekana kuwa tayari kupigania wanachokiamini wakiwa nyuma ya Tundu Lisu. Na serikali isiwachukulie kwa wepesi hawa wapo tayari kwa lolote katika kuitafuta haki.

Ole CCM waibe kura, watajuta. Na nyuma ya wafuaso wa Lisu kuna nguvu ya taasisi za kimataifa ambazo zimetamka wazi kuwa uongozi wa Rais Magufuli ni wa kugandamiza haki za raia. Jamii ya kimataifa itashangaa sana kama kutakuwa wa haki. Hawatashangaa ukiwa kinyume chake, na imejiandaa zaidi kwa hili.

Rais Magufuli anajulikana wazi kuwa ni mbabe na anayefurahia kugandamiza haki za watu. Na yeye mwenyewe aliwahi kukiri kwa kinywa chake alipohojiwa pale Uganda. Aliulizwa, 'how do you balance economic development and human rights". Mara ya kwanza hakuelewa hata hilo swali. Hata pale Mseveni alipomfafanulia, Rais Magufuli alijibu, "human rights is not my priority". Kila mmoja alibaki mdomo wazi!!

Lisu, habari zake hazitangazwi kwenye TV, radio wala magazeti, lakini watu wanazitafuta habari zake mpaka wanajua leo yupo wapi, na kesho yupo wapi. Magufuli, wakati wote yupo kwenye vyombo vya habari lakini watu kuna wakati wanabadilisha chanel wakisema hana jipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa unakuaga na akili Sana yaani.
 
Ni kweli hana jipya kwani uongo.
 
Haaahaaaa ila wakikosa watu viwanjani mnadai wamechokwa? Watu wakijaa ni kiangazi.
Poleni sana na huu ni mwanzo tu
 
The movement for ukombozi is now regaining its momentum....

The situation in Sumbawanga was real

People fearlessly were shouting

"....Tundu Lissu Rais wetu..."

"...Tundu Lissu Rais wetu...."

"....Magu - fuuli aondoke..."

"....Magu - fuuli aondoke..."

This is reality. Its not a dream....!!

What's coming next? We all know....Magufuli out!!!
Your browser is not able to display this video.
 
Wanasemaga eti Lissu vijinini hajulikani. Tsunami ya Lissu haitegemei matangazo kwenye TV, redio wala magazeti.

There is natural mystic power in Lissu.

Mimi mwenyewe siamini hata kidogo....!

Niko Shinyanga, lakini nilipoiona hii kitu ilinishangaza sana na kunitia hamasa isiyo ya kawaida....

Huyu mtu siyo wa mchezo.....

Kama mzaha, tunaweza kushuhudia siyo tu ushindi wa mtu huyu ktk uchaguzi huu bali MAPINDUZI ktk staili na namna ya ajabu kuwahi kutokea....!

Kwa kweli Mungu ana namna yake ya kutenda mambo yake maana anasema;

"....Njia zangu siyo njia zenu (wanadamu) na mawazo yangu siyo mawazo yenu...."

Tuacheni tu Mungu aitwe Mungu kwa kweli....!
 
Hakuna mkoa Magufuli ana uhakika wa kupata kura nyingi kumshinda Lissu, tunazidi kuona hata ile mikoa ambayo ilionekana kuwa ngome ya CCM lakini wananchi wake sasa wana muamko wa hali ya juu wa mabadiliko.

Hili Lissu ameshalitambua ndio maana anawasisitiza wakapige kura na kuzilinda, ana uhakika kitakachowaokoa CCM ni wizi wa kura tu, nothing else, na huu ni uthibitisho mwingine kwamba hata wale wanaojitokeza kwenye mikutano ya CCM wengi wao ni wapinzani, ukiondoa wale wanaovaa nguo za kijani.
 
Hata Sumbawanga kwa Ali Mzee wa kujipendekeza hali ni tete. Huko Songwe na Momba ndiko walikuwa wanajivunia eti Lissu hajulikani.

The shit is geting real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…