Mtajazana Upepo sana humu
Lakini Hakuna Lolote
Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine
Alipigiwa Deki Lowassa Lisu Ndio nani!!
Msibadilishe Id zenu Kumi kumu
 
Mtajazana Upepo sana humu
Lakini Hakuna Lolote
Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine
Alipigiwa Deki Lowassa Lisu Ndio nani!!
Msibadilishe Id zenu Kumi kumu
Umejibu nikichokua najibu, kuna waliodeki barabara na kumtandikia vitenge na kanga.... leo yuko wapi😂😂😂
Wajumbe ndio hàohao wapiga kura
 
Mungu mbariki na mlinde mtoto wako Tundu Antiphas Lissu!! Mshindie uchaguzi wa mwaka huu 2020 kwa Jina lako Yesu Kristo. Na mfanye awe Raisi wetu 2020-2025 kwa Jina lako Yesu Kristo!
 
Anaisumbua mahakama tu, jela lazima aingie
Mku kabla ya mahaka fuatilia ripoti na UN hii ya juzi na mawasiliano ya Mwanasheria wake ndo utajua nini kinachoendelea. Pia jela ni kumwongezea mwendo kumbuka dunia nzima juu ya huyu mtu inafuatilia na kuweka record zao sawa ili wajue pa kuanzia. Hali sio nzuri kwetu ccm juu ya Lisu kwa anayefuatilia haya mambo anajua Lisu alikoegemea ambapo ni kuzuri zaidi vyama vyote
 
Ameniiiiii!
 
Huko alikoegemea siko zinakotoka kura mkuu. Swala la kushinda au kushindwa tuachie wajumbe
 
Ebwana ndio! jiwe kazi anayo!
 
Sishindani na yeyote hapa JF na wala sina haja ya kufuata ushauri wa Shetani , achana na maandishi yangu endelea kuamini unachoamini
Hapa siyo sehemu ya imani bhana! Hoja ziko wapi? Lete hoja! Umri wote huu JF bado unafuata mtu bila hoja? Au shule ndogo? Kwa nini usihangaike kujisomea ukubwani ili angalau akili ivae kitu fulani?
 
Una hasira mingi sana!!
kunywa chai kwanza....
Nauliza tena, Kwa nini unaniita bab? ina maana gani? Ni baba au babu? Nani kakusimulia mimi mwanaume? Au una familia ya akina mama wasiojiweza ki-fikra!
 
Nauliza tena, Kwa nini unaniita bab? ina maana gani? Ni baba au babu? Nani kakusimulia mimi mwanaume? Au una familia ya akina mama wasiojiweza ki-fikra!
Kumbe ww ni bibi sorry kwa kukuita babu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…