Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mzee anachanganyikiwa akina Makonda, Mnyeti na Polepole walikuwa wanamdanganya kuwa anapendwa sn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliimba hivyo kwa Mbowe, Dr. Slaa, na kwa lowasa. Kuimba mtaimbiwa Sana, ila hapo hao waimbao ndio watampa kura nyingi Magufuli. Tanzania Hoyee.
Kaliba ya Sheria inavyozinyoosha Siasa za CCM TanzaniaHakuna mkoa Magufuli ana uhakika wa kupata kura nyingi kumshinda Lissu, tunazidi kuona hata ile mikoa ambayo ilionekana kuwa ngome ya CCM lakini wananchi wake sasa wana muamko wa hali ya juu wa mabadiliko.
Hili Lissu ameshalitambua ndio maana anawasisitiza wakapige kura na kuzilinda, ana uhakika kitakachowaokoa CCM ni wizi wa kura tu, nothing else, na huu ni uthibitisho mwingine kwamba hata wale wanaojitokeza kwenye mikutano ya CCM wengi wao ni wapinzani, ukiondoa wale wanaovaa nguo za kijani.View attachment 1572910
Huu uzi kuna bavicha kama 10 hivi wamejitahidi kutiana moyo!
Ni upumbavu kufikiri Lisu atamshinda Magu
View attachment 1556347
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho...
[emoji16][emoji16]una roho ngumu ila naamini mpaka kuisha kwa kampeni Lissu atakuwa ameilainisha [emoji111]Lissu hamna kitu pale
Thubutu! Nyakati na majira vimebadilika sana. Kaa chonjo, time mbaya hizi! Kama huamini, kalaga baho!Waliimba hivyo kwa Mbowe, Dr. Slaa, na kwa lowasa. Kuimba mtaimbiwa Sana, ila hapo hao waimbao ndio watampa kura nyingi Magufuli. Tanzania Hoyee.
Tangu lini mkawa wastarabuTufanyeni kampeni za kistaarabu.
Unasema kweli??Wanaoimba Raisi Ni boys .Lisu boys kawakusanya vijiweni at a fee of course waimbe hiyo chorus
Kilichopo ni kuwa Lissu atashindwa katika sanduku la kura lakini CHADEMA hawatakubali na watawaaminisha mashabiki wao kuwa wameshinda ila wameibiwa kura.Kigogo ndio kahack mifumo ya nec? Au wale mabeberu wa Lisu kina Amsterdam?
Hivi hata mnaelewa kinachoendelea hapa nchini kweli? Yani hapo chadema hamna mtu hata mmoja mwenye akili wa kuwafanyia analysis ya kuona kukubalika kwenu?...
Mnatakiwa kujua saizi kua hakuna cha tunamuachia Mungu awamu, msikiri mtafanya uhuni mlioufanya 2015Mtajazana Upepo sana humu
Lakini Hakuna Lolote
Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine
Alipigiwa Deki Lowassa Lisu Ndio nani!!
Msibadilishe Id zenu Kumi kumu
Misukule ya lumumba km ww mpo wa nne tu ndo mnaleta mipasho ya kanga......Huu uzi kuna bavicha kama 10 hivi wamejitahidi kutiana moyo!
Ni upumbavu kufikiri Lisu atamshinda Magu
Ni sawa, ila pia kila mgombea ana wafuasi kila anakoenda. Ushindi wa mgombea utatokana na wafuasi watakaompigia kura za ndio na sio wafuasi wanaosema tutakuchagua. Sasa je hao wanaomfuata sasa wote watapiga kura, na wakipiga kura wote watamchagua?Mku ameegemea kwa raia ndo maana mwanzo kabisa aliiambia NEC uchaguzi uwe huru na haki pasipo haki hatakubali matokeo kutokukubali matokeo ni mbaya kwetu ccm kumbuka huyu mtu anawafuasi kila pande za nchi na duniani pia. Chochote atakachofanyiwa huyu Mtu sio afya kwa Nchi na viongozi wetu pia. Ukijaribu kufuatilia maongezi ya mwanasheria wake kwa wale walioandikiwa barua na huyu mwanasheria ndo utajua nini kinachoendelea.Huyu backup yake Ni kubwa sana na Ilani ya chama chake inambeba Mku
Mawakala 80,000 x Shs. 20,000/ = 1,600,000,000/= (Milioni 1.6 tu ) ina maana kila kituo wafuasi wa chama watashindwa 20,000/= ? Sasa kuna haja gani kugombea katika eneo hilo? si bora waache tuu kama hakuna wanachama wa kutosha kmuwezesha wakala kupata hela ya kula siku moja au mbili?Kilichopo ni kuwa Lissu atashindwa katika sanduku la kura lakini CHADEMA hawatakubali na watawaaminisha mashabiki wao kuwa wameshinda ila wameibiwa kura...
Mawakala 80,000 x Shs. 20,000/ = 160,000,000/= (Milioni 160 tu ) sijui nimekosea
Hao wanne inawezekana ni mmoja tu, anajitekenya na kujichekea na id zake!Misukule ya lumumba km ww mpo wa nne tu ndo mnaleta mipasho ya kanga......
Hakuna mkulima mfanyabiashara mfanyakazi mwanagunzi au mstaafu wa kumpa kura magufuli na ccm......WAMPE KURA KWA KUUA UCHUMI WAO?
Ni upumbavu kuamini kuna mtz atanpigia kura magufuli.....