Nasikia jamaa anasubiriwa kwa hamu kubwa!!
Bukubo kuna zao la Majani ya Chai, Kahawa na ndizi vyote vimeharibiwa soko na wakulima kukata tamaa sababu ya utawala mbovu wa ccm!!
Bukoba pamoja na mkoa wa "nshomile" lakini vijiji vingi kama sio vyote vina tatzo la maji mkoa mzima!! Ukianzia Katoma, kibeeta, Maiga, Katerero, Kanazi, Kyema, Mugaza, Ibwela, Kabale, Rubale, Izimbya Ruhunga, Kyaka Bugorola nk pote watu wanafata maji km zaidi ya 4!!
Ukiingia Karagwe huko usiseme, zao lao kuu ni kahawa na maharage, Ndizi na Karanga lakini vyote soko nyanganyanga!!
Lissu fanya kitu uwakomboe wana Kagera!!