Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Acheni utani nyie 😛 🤣Hata Mbatia jana amelia pale Himo!
hivi kweli mtu umelipwa mafao zaidi ya 500m ndani ya miaka mitano huna hatamia bado unailaumu serikali kweli? huyu sialikuwa mbunge mbona hakutunga sheria za kulainisha maisha yetu? wacha tuweke wengine wakatutungie sheria rafiki kwa maisha yetuCcm ndiyo nia yao kuhakikisha watanzania wanakuwa hoi kiakili na kiafya ili waendelee kuwa tawala.
Ndiyo maana wanajitahidi kuwalaghai kwa bora elimu badala ya elimu bora.
Acha kupotosha, mimi binafsi nilikuwepo hapo uwanjani. Aliongea kwa hisia tu kutokana na manyanyaso wanayofanyiwa wananchi wa Kibondo na polisi chini ya OCD.Nimemwona Lissu akiwa kibondo akimnadi mgombea wake aliyekuwa mbunge miaka ya nyuma, nimepatwa na simanzi sana, dogo kachoka, inaonekana maisha hayamwendei vizuri.
Wakati Lissu akimnadi dogo alikuwa akimeza fundo la kutaka kulia, alikuwa akitetema kama mtoto aliyetoka kupigwa na mamake. Jamani maisha ya kisiasa hayawafai vijana kwani uhai wake ni mfupi mno.
Sasa kilichonishangaza Lissu anawambia wapiga kura wamchague amalizie ujenzi wa barabara kwa mtaji upi? Mambo mengine mbona ya kuudhi sana!
Kuchagua chama kingine mbali na CCM, ni kupoteza kura yako bure. Huu ndio ukweli.Nimemwona Lissu akiwa kibondo akimnadi mgombea wake aliyekuwa mbunge miaka ya nyuma, nimepatwa na simanzi sana, dogo kachoka, inaonekana maisha hayamwendei vizuri.
Wakati Lissu akimnadi dogo alikuwa akimeza fundo la kutaka kulia, alikuwa akitetema kama mtoto aliyetoka kupigwa na mamake. Jamani maisha ya kisiasa hayawafai vijana kwani uhai wake ni mfupi mno.
Sasa kilichonishangaza Lissu anawambia wapiga kura wamchague amalizie ujenzi wa barabara kwa mtaji upi? Mambo mengine mbona ya kuudhi sana!
Uzi wako hauna hoja, Kwanza Mbowe na Mnyika wakiwemo viongozi wengine wa ngazi ya juu wametembea kanda zote kumi wakiwa pamoja na Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu. Hatua inayofuatia ni kunadi sera za Chama, Hakuna mahali mgombea Wetu amelalamika kwamba kaachwa peke yake hayo ni mawazo yako tu.Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.
CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.
Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!
Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
Nimemwona Lissu akiwa kibondo akimnadi mgombea wake aliyekuwa mbunge miaka ya nyuma, nimepatwa na simanzi sana, dogo kachoka, inaonekana maisha hayamwendei vizuri.
Wakati Lissu akimnadi dogo alikuwa akimeza fundo la kutaka kulia, alikuwa akitetema kama mtoto aliyetoka kupigwa na mamake. Jamani maisha ya kisiasa hayawafai vijana kwani uhai wake ni mfupi mno.
Sasa kilichonishangaza Lissu anawambia wapiga kura wamchague amalizie ujenzi wa barabara kwa mtaji upi? Mambo mengine mbona ya kuudhi sana!
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

Hawataki kujihangaisha na mtu atakayepata 0.5% ya kura. Wameona Bora poyoyo wamwachie Salum Mwalimu ili waaibike Lissu na Salum Mwalimu.Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.
CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.
Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!
Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
Mbowe yuko hai anagombea ubunge.
Hao wagombea wenu waliopita bila kupingwa ndio wanapiga kampeni kwingine.
Unafikiri Majaliwa angekuwa anamshindani ungemuona anazurura?