Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Ccm ndiyo nia yao kuhakikisha watanzania wanakuwa hoi kiakili na kiafya ili waendelee kuwa tawala.

Ndiyo maana wanajitahidi kuwalaghai kwa bora elimu badala ya elimu bora.
hivi kweli mtu umelipwa mafao zaidi ya 500m ndani ya miaka mitano huna hatamia bado unailaumu serikali kweli? huyu sialikuwa mbunge mbona hakutunga sheria za kulainisha maisha yetu? wacha tuweke wengine wakatutungie sheria rafiki kwa maisha yetu
 
hutoweza kuwaona wote kwenye youtube kwa muda unaotaka wewe.
Kama vyombo vya habari vikithubutu kurusha matangazo ya wagombea wa chadema kama wanavyofanya kwa ccm,natumahi usinge kuja na hoja hii.
 
Nimemwona Lissu akiwa kibondo akimnadi mgombea wake aliyekuwa mbunge miaka ya nyuma, nimepatwa na simanzi sana, dogo kachoka, inaonekana maisha hayamwendei vizuri.

Wakati Lissu akimnadi dogo alikuwa akimeza fundo la kutaka kulia, alikuwa akitetema kama mtoto aliyetoka kupigwa na mamake. Jamani maisha ya kisiasa hayawafai vijana kwani uhai wake ni mfupi mno.

Sasa kilichonishangaza Lissu anawambia wapiga kura wamchague amalizie ujenzi wa barabara kwa mtaji upi? Mambo mengine mbona ya kuudhi sana!
Acha kupotosha, mimi binafsi nilikuwepo hapo uwanjani. Aliongea kwa hisia tu kutokana na manyanyaso wanayofanyiwa wananchi wa Kibondo na polisi chini ya OCD.
 
Nliuliza humu juzi kwamba je Mbowe kasusia kampeni?

Mbowe hana raha kabisa kwenye huu uchaguzi!

Huu uchaguzi wa mwaka huu Mbowe hajapiga hata sent tano ila zinamtoka tu.

Lisu anamkamua kweli kweli. Si mnajua Lisu ni masikini tu hana hela kama Lowasa?

Lowasa 2015 alitoa mabilioni yake na yale aliyochnagiwa na friends of Lowasa yote aliyapeleka chadema ndio maana Mbowe kwenye zile kampeni alikuwa na furaha sana kwa sababu ya mihela ilihotokana na kubadili gia angani.

Kumbuka pia safari hii mapesa kutoka nje yamezuiwa.
 
Tundu Lissu anajimudu pakubwa sana.
Anauwezo mkubwa wa kujenga Hoja.
Ana nguvu kubwa sana ya ushawishi.
Anaakili nyingi sana.

Hana haja ya kusemewa wala kupigiwa debe anajimudu Mno.
Yeye si kama Lowasa asiyejiweza kabisa jukwaani.

Mbowe yupo buzy na shughuli za kujenga chama.
Kuweka mikakati ya ushindi.
Kuongeza raslimali ndani yachama.
Kufuatilia mwenendo wa chama.
Kuandaa vijana na mawakala kuhakikisha CHADEMA haiibiwi kura hata moja.
 
Nimemwona Lissu akiwa kibondo akimnadi mgombea wake aliyekuwa mbunge miaka ya nyuma, nimepatwa na simanzi sana, dogo kachoka, inaonekana maisha hayamwendei vizuri.

Wakati Lissu akimnadi dogo alikuwa akimeza fundo la kutaka kulia, alikuwa akitetema kama mtoto aliyetoka kupigwa na mamake. Jamani maisha ya kisiasa hayawafai vijana kwani uhai wake ni mfupi mno.

Sasa kilichonishangaza Lissu anawambia wapiga kura wamchague amalizie ujenzi wa barabara kwa mtaji upi? Mambo mengine mbona ya kuudhi sana!
Kuchagua chama kingine mbali na CCM, ni kupoteza kura yako bure. Huu ndio ukweli.
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
Uzi wako hauna hoja, Kwanza Mbowe na Mnyika wakiwemo viongozi wengine wa ngazi ya juu wametembea kanda zote kumi wakiwa pamoja na Mgombea Urais wa JMT Tundu Lissu. Hatua inayofuatia ni kunadi sera za Chama, Hakuna mahali mgombea Wetu amelalamika kwamba kaachwa peke yake hayo ni mawazo yako tu.
 
Muache alie kwani inaondoa uchungu alikua ameushilia muda mrefu pasi kuwepo mahali pakusemea.
Nimemwona Lissu akiwa kibondo akimnadi mgombea wake aliyekuwa mbunge miaka ya nyuma, nimepatwa na simanzi sana, dogo kachoka, inaonekana maisha hayamwendei vizuri.

Wakati Lissu akimnadi dogo alikuwa akimeza fundo la kutaka kulia, alikuwa akitetema kama mtoto aliyetoka kupigwa na mamake. Jamani maisha ya kisiasa hayawafai vijana kwani uhai wake ni mfupi mno.

Sasa kilichonishangaza Lissu anawambia wapiga kura wamchague amalizie ujenzi wa barabara kwa mtaji upi? Mambo mengine mbona ya kuudhi sana!
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.

Kuna Mgawanyiko Mkubwa ndani ya CDM kutokana na Maswala ya Fedha. Ni kweli hawako stable kwenye maswala ya kiuchumi lakini zile 50M bado inazidi kuwachanganya.
Mbowe kapiga pesa ndio Maana kampeni zao zinasuasua ,Kubwa zaidi kuliko hilo ni maelewano Mabaya kati ya Lissu na Mbowe.
Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CDM ,Mwenyekiti wa Chama Freeman Mbowe alikua hataki Lissu apate nafasi ya kuwa mgombea kupitia chama chake.
Hili litazidi kuwatafuna hadi pale watakapo kaa chini na kuamua kuweka mambo sawa ila kwa kipindi hiki hawataweza,lazima wapoteze uchaguzi huu.
 
Nimemwona Lissu akiwa kibondo akimnadi mgombea wake aliyekuwa mbunge miaka ya nyuma, nimepatwa na simanzi sana, dogo kachoka, inaonekana maisha hayamwendei vizuri.

Wakati Lissu akimnadi dogo alikuwa akimeza fundo la kutaka kulia, alikuwa akitetema kama mtoto aliyetoka kupigwa na mamake. Jamani maisha ya kisiasa hayawafai vijana kwani uhai wake ni mfupi mno.

Sasa kilichonishangaza Lissu anawambia wapiga kura wamchague amalizie ujenzi wa barabara kwa mtaji upi? Mambo mengine mbona ya kuudhi sana!

Magufuli anamaliza kwa mtaji upi? Jk alijenga kwa mtaji gani?
 
Mbowe yuko hai anagombea ubunge.
Hao wagombea wenu waliopita bila kupingwa ndio wanapiga kampeni kwingine.

Unafikiri Majaliwa angekuwa anamshindani ungemuona anazurura?
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
Hawataki kujihangaisha na mtu atakayepata 0.5% ya kura. Wameona Bora poyoyo wamwachie Salum Mwalimu ili waaibike Lissu na Salum Mwalimu.
 
Mbowe yuko hai anagombea ubunge.
Hao wagombea wenu waliopita bila kupingwa ndio wanapiga kampeni kwingine.

Unafikiri Majaliwa angekuwa anamshindani ungemuona anazurura?

Mbowe anapambania Kiti chake kule hai japo mambo ni magumu na amezidiwa sana na Wanachi hawahudhurii kwenye Mikutano yake.
Amekua Mwakilishi wa Jimbo la Hai lakini hakuna maendeleo yoyote aliyofanya pale na Amekua akionekana kipindi cha Uchaguzi kuomba kura wakati huu hatekelezi majukumu yake kama mwakailishi.
 
Back
Top Bottom