Kwa kudanganyana HamjamboNi mgawanyo wa majukumu
Kuna team ya kampeni
Kuna team inayoshughulika na maswala muhimu ya chama...si kwamba kwakuwa kuna uchaguzi basi mambo mengine hayaendi
Ana uwezo wa kuwaongoza wewe na wenzio mijitu mijinga mijinga,Kura ni kwa Magufuli JPMTL mmoja ni sawa na viongozi 1000 wa CCM. Kwa hiyo anatosha. Waache wengine wafanye shughuli zingine mhimu.
Sawa barabara wakati watu hawana nguo, na chakula, wape ubwabwa Kama Rungwe then wape nguo, wapeleke shule then wawezeshe kujenga uchumi binafsi, na taasisi alafu wakate kodi uwajengee barabara kwa Kodi na mapato yao, Ni approach tu,Trust None maendeleo ya miundombinu kama barabara sio sera ya Chadema,sera ya Chadema ni maendeleo ya watu kwanza alafu hiyo barabara ya Lusaunga Ngara baadae sana mpaka kwanza watu wapate maendeleo.
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.
CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.
Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!
Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.

Ngoja akome na leo nilikuwa naona huko ngara ana watu wachache utafikiri mgombea udiwani,Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.
CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.
Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!
Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
KAZI kubwa na muhimu ya chama chochote cha Siasa ni kufanya kampeini kubwa ili kishinde uchaguzi na kuunda serikali. SASA kama kuna chama kina KAZI nyingine muhimu kuliko inayoendelea Kwa SASA , inabidi kiangalie upya priorities/vipaumbele vyakeNi mgawanyo wa majukumu
Kuna team ya kampeni
Kuna team inayoshughulika na maswala muhimu ya chama...si kwamba kwakuwa kuna uchaguzi basi mambo mengine hayaendi
Mil 50 ziichanganye cdm?
Yuda Iskarioti wa Tanzania naye huwa analia ?Hata Mbatia jana amelia pale Himo!
CCM wanaumia sana kuona hivi!