Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Baada ya 28 oktoba tumeibiwa kura
Safari hii hamuibi kura wachunguzi wa mahakama za uhalifu ICC The Hague, na vyombo vingine Scotland Yard , FBI, CIA na mashirika ya haki za binadamu vipo Tanzania vinafuatilia kila kitu ili Duniani kote wajue nini kitaendelea tarehe 28 October
 
Mapenzi yapi wakati hata viongozi wenzake wa Kamati Kuu wamejitenga naye.

Mwenye masikio na asikie asisubili ya kuambiwa. Ndani ya kambi ya CHADEMA ya kampeni, Uchaguzi Mkuu huu, hali si shwari.

Wapo wanaounga mkono lugha anayotumia mgombea wao wa Urais (ambao ni wachache sana) kuwa inawavutia watu na kujaza mikutano yake. Kujaza watu kwao kunahesabika ni ushindi tayari. Kwa sababu hiyo wanahamasisha hao watu waingie barabarani asipotangazwa. Kundi hili ndilo rafiki za mgombea akiwapa ahadi za nafasi za uongozi wa juu katika mfumo wao wa Serikali za majimbo.

Wengi ndani ya kambi hiyo, ambao wamesusia kushiriki, wameshindwa kumshawishi abadilike kifikra, matendo na lugha anayotumia. Pia wameshindwa kumwelewa kwa nini hatumii muda mwingi kwenye kampeni kunadi Sera.

Mkuu BAK, umebaki kubeba kapu lililojaa utupu kwa kubandika tu matukio ukiamini hata JF kumejaa watu wa aina yako ambao kamwe hawaleti mada za masuala km Sera kujadiliwa.

IT IS A SHAME
 
Kuna mungu mtu anafosi kuabudiwa Tanzania. Atapata hao hao waliopotea sio wanaojitambua wallah
 
Anaweweseka kwani alikubali uongo kwamba Chadema imekufa kutokana na juhudi zake za kidikteta.

CCM wanaumia sana kuona hivi!

Ukiona Magufuli anaanza kujadili mafuriko ya Lissu,ujue ni kweli amelegea kama alivyosema Lissu.

Awaeleze watanzania ni nini kinamfanya abadili mitazamo/msimamo/kauli zake za awali kama sio nguvu na ushawishi mkubwa alionao Lissu unaaopimwa kupitia mafuriko ya watu kwenye mikutano yake?
 
BAVICHA! Wazee wa kujitekenya na kucheka!
Magufuli anakutana na umati halisi wa watanzania kila anapopita, tena wamepagawa kwa jinsi wanavyoridhishwa na uongozi wake.

BAVICHA wanatumia nguvu nyingi kutupia nyuzi nyingi JF za kumkashifu Magufuli! Na mapicha ya ku edit au za "angle"!

Kwa akili ya kindergarten nani atapata kura nyingi? Nyuzi hata mkitoa 1000 kwa siku hazipigi kura, uhalisia huko "site" Magu anacheza na uhalisia wa "site".

Mngekuwa mna akili mngejifunza kidogo kwa Dr Slaa. Kipindi yuko CHADEMA , miaka ya kuelekea uchaguzi wa 2015 alizama "cite" kwa wananchi wa vitongojini na vijijini na kuendesha kampeni iliyoikuza sana CHADEMA.
 
Back
Top Bottom