Hakuna Mapenzi yoyote zaidi ya Kutia huruma na Kulalamika kwenye Majukwaa badala ya Kumwaga sera na Kunadi Ilani ya Chama chake cha CDM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Mwaka huu haibiwi kura mtuIkifika october 28 au november 3 utapata majibu ya nani ni nani
Ndio maana lissu atashindwa vibaya kwa sababu anafikiri uanasheria ndio siasa. Siasa inahitaji maadili na utu sio ubabaishaji wa kumpa mhalifu haki. Anatoa hoja kwa mtindo wa ubabaishati kwa hoja dhaifu ili kumuokoa muuaji aepe kitanzi. Ndio kazi ya mawakili mtindo wa lissu.Ikifika october 28 au november 3 utapata majibu ya nani ni nani
Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Hazigawiwi mbao wala fito bali atapigwa gape kubwa sana la kura amini magufuli atashinda kwa kishindo sana na wabunge wengi wa upinzani watapoteza majimbo naomba tukutane hapa baada ya uchaguziMwaka huu na hilo boya lenu hamtoki... Na hata mkitoka mtagawana mbao, fito na nguzo...
Lissu kamzidi mtu akiliLissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Ndio maana lissu atashindwa vibaya kwa sababu anafikiri uanasheria ndio siasa. Siasa inahitaji maadili na utu sio ubabaishaji wa kumpa mhalifu haki. Anatoa hoja kwa mtindo wa ubabaishati kwa hoja dhaifu ili kumuokoa muuaji aepe kitanzi. Ndio kazi ya mawakili mtindo wa lissu.
Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,
"vitambuliaho sio lazima."
Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.
Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,
"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30
Haibiwi na hato ibiwa ila hawezi kushindaMwaka huu haibiwi kura mtu
... kwa maelezo haya vitambulisho ni lazima tofauti na kauli ya kilaghai ya mzee baba.Kata kitambulisho 20000/,=ujichingalize mwaka mzima bure,au uhangaishane na buku dala za mgamo wa jiji deile! Ni uamuzi wako siyo lazima .akili mkichwa.
Unajua kiwa Marais wengi mahili wamesoma sheria?Ndio maana lissu atashindwa vibaya kwa sababu anafikiri uanasheria ndio siasa. Siasa inahitaji maadili na utu sio ubabaishaji wa kumpa mhalifu haki. Anatoa hoja kwa mtindo wa ubabaishati kwa hoja dhaifu ili kumuokoa muuaji aepe kitanzi. Ndio kazi ya mawakili mtindo wa lissu.
Hakuna mwenye akili timamu atakae mpigia kura lissu wengi wanaopinga ni kwaajili ya kutaka umaarufu maana hawajui nia yake ila jamaa anaokana wazi ana nia mbayaNdio maana lissu atashindwa vibaya kwa sababu anafikiri uanasheria ndio siasa. Siasa inahitaji maadili na utu sio ubabaishaji wa kumpa mhalifu haki. Anatoa hoja kwa mtindo wa ubabaishati kwa hoja dhaifu ili kumuokoa muuaji aepe kitanzi. Ndio kazi ya mawakili mtindo wa lissu.
Kwa Jecha style sawa.Hazigawiwi mbao wala fito bali atapigwa gape kubwa sana la kura amini magufuli atashinda kwa kishindo sana na wabunge wengi wa upinzani watapoteza majimbo naomba tukutane hapa baada ya uchaguzi