Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Lissi Ni pasua kichwa kwa kweli,ukisikia watoto wa Mjini ndo Hawa.
Lissu anafanya kampeni kwa njia nyingi mno,na huwezi kujua utamkabili kwa njia ipi.
Njia aliyotumia hivi karibuni Ni moja ya njia watumiazo mawakili wakiwa mahakamani.
Kwanza anakupa mtego wa swali,hoja au maneno,ukijaa anakuweka Kati.
Sasa suala la vitambuliaho vya wamachinga kamtega Jiwe,jiwe kaingia mtegoni,kwa kujibu kuwa,

"vitambuliaho sio lazima."

Tayari Mzee Baba akawa kaingia mtegoni.

Lissu kampa kubwa na kumuingiza Kati,Mzee Baba.
Akamwambia,

"Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!

Jiwe chali.
Chato hiyooooo, Oct 30

Jiwe uwezo ni mdogo mno. Mtoto si riziki. Anategwa na kutegeka kirahisi sana. Lissu ni another level.
 
Ndio maana lissu atashindwa vibaya kwa sababu anafikiri uanasheria ndio siasa. Siasa inahitaji maadili na utu sio ubabaishaji wa kumpa mhalifu haki. Anatoa hoja kwa mtindo wa ubabaishati kwa hoja dhaifu ili kumuokoa muuaji aepe kitanzi. Ndio kazi ya mawakili mtindo wa lissu.
Utu ndo huo anauonesha magufuli au?kweli wanaccm ni bahati mbaya kwa nchi hii na watu wake
 
Wafuasi wa CHADEMA kwa sasa Wanachokifanya ni kwenda kumfuata mgombea wao wa urais kwa kutembea akiwa bado yuko mbali sana na mji/mohali anapofanyia mkutano.

Style hii ya kupiga kampeni itatugharimu kiuchumi,barabara zinafungwa masaa karibia 5,pia tunapaswa kujua kuwa watu mia tano au mia nane wakiandamana barabarani wanachukua nafasi kubwa saaana.

Ni kweli mnatafuta kuonekana mna watu wengi kwa kutumia style hii japo sio wengi maana hata wanafunzi wa shule moja ukiwaambia waandamane barabarani wataonekana ni wengi,na hii mbinu tulikuwa tunaitumia mashuleni na vyuoni enzi zile kufanya migomo.

Nachotaka kieleweke ni kwamba,kuna shughuli nyingi sana za kiuchumi mnawakwamisha wananchi wa Tz na mbaya zaidi mnataka tuwachangie pesa kwenye mikutano yenu.
 
Kama vitambuliaho sio lazima? Futa sheria iliyoviweka"!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu atakuambia msema kweli ni mpenzi wa mungu! Labda mungu Lucifer
 
Watanzania tunajitambua sikuizi ndio maana wapinzani wanapata sana tabu kutushawishi, naomba kura yako mpigie magufuli maana yeye anatufaa sana
2526615_1600781541524.png
 
Mabasi ya mikoani wanachelewa sana kisa misafara ya wagombea wa CCM. Tulikalishwa nusu saa nzima Tabora kumsubiri Meko apite na msafara wake ndipo basi liendelee na safari. HAPO HAKUNA USUMBUFU?????

#Kura kwa CHADEMA
#Kura kwa LISSU
#UHURU, HAKI NA MANDELEO YA WATU
 
Pole sana kwanza tambua yule ni raisi wa nchi kwaiyo popote pale aendapo lazima apewe heshima yake, kuhusu kura naomba usihangaike mpigie kura magufuli ili tanzania azidi kupata maendeleo tunaomba kura yako tafadhali
 
Wafuasi wa CHADEMA kwa sasa Wanachokifanya ni kwenda kumfuata mgombea wao wa urais kwa kutembea akiwa bado yuko mbali sana na mji/mohali anapofanyia mkutano.

Style hii ya kupiga kampeni itatugharimu kiuchumi,barabara zinafungwa masaa karibia 5,pia tunapaswa kujua kuwa watu mia tano au mia nane wakiandamana barabarani wanachukua nafasi kubwa saaana.

Ni kweli mnatafuta kuonekana mna watu wengi kwa kutumia style hii japo sio wengi maana hata wanafunzi wa shule moja ukiwaambia waandamane barabarani wataonekana ni wengi,na hii mbinu tulikuwa tunaitumia mashuleni na vyuoni enzi zile kufanya migomo.

Nachotaka kieleweke ni kwamba,kuna shughuli nyingi sana za kiuchumi mnawakwamisha wananchi wa Tz na mbaya zaidi mnataka tuwachangie pesa kwenye mikutano yenu.
Nyie kufunga shule na ofisi za serikali waka msikilize Jpm ni kuimarisha uchumi..
 
Watu wa DAR ES SALAAM huwa hawajifichi wakiamua kukudharau wala hawakufichi ona huu msafara wa Lissu siku unaenda kwenye uzinduzi wa kampeni MBAGALA ulivyodharaulika na watu wa Dar es salaa hadi unaingia uwanjani njia nzima watu walionyesha kutokujali wala kuwa na habari naye ndio maana akakimbia mji kukimbilia mikoani kwa aibu

LAKINI ona mahudhurio ya uzinduzi hapa chini wa siku ya kwanza ya LOWASSA Dar es salaam 2015 LINGANISHA na hayo ya LISSU hapo juu
Lissu watu wa DAR hawamtaki

Poleni sana hivi hicho ndio mlichobakiza, baada ya mgombea wenu kukaukiwa hoja?
 
Pole sana kwanza tambua yule ni raisi wa nchi kwaiyo popote pale aendapo lazima apewe heshima yake, kuhusu kura naomba usihangaike mpigie kura magufuli ili tanzania azidi kupata maendeleo tunaomba kura yako tafadhali
Yeye kasema Meko wewe unasema ni raisi wa nchi na apewe heshima yake, hilo jina ndio mlilokubaliana huko kwenye vijiwe vyenu?.
 
Hahahah wala silii na sito lia maana mimi ni kijana mchapakazi na nafanya shughuli zangu kihalali ndio maana nasema tumuunge mkono raisi wetu mpendwa apate mitano mingine ili tupate maendeleo zaidi ya haya tunayo yaona, naomba kura yako mpe magufuli yeye anatufaa achana na hao wajanja janja wanaotaka kukutumia wewe kujinufaisha wao View attachment 1577519
MZEE hana mvuto,
kucHeza sana muziki hakusaidii kinachotakiwa ni hoja za kurudisha UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom