Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ningependekeza upande wa ccm wawe watano dhidi ya Lissu mmojaMDAHALO KWA WAGOMBEA URAIS NI MUHIM MNOO HASWA KWA MAGUFULI NA LISSU
umerukwa na akili ?Mdahalo auna ulazima kwakua wote wamesha hudumu katika jamii kwaiyo tunaifahamu misimamo yao mfano JPM yeye anapigania nchi ijitegemee ijiamulie Mambo yake. Lisu anapigania utawala wa Sheria na mapenzi ya jinsia mmoja.
Labda kwa viongozi wasiofahamika.
Kwa kuusema ukweli?umerukwa na akili ?
Watano hawatoshi wawe hata kumi!Ningependekeza upande wa ccm wawe watano dhidi ya Lissu mmoja
Kwanini mnaogopa mdahalo?Mdahalo auna ulazima kwakua wote wamesha hudumu katika jamii kwaiyo tunaifahamu misimamo yao mfano JPM yeye anapigania nchi ijitegemee ijiamulie Mambo yake. Lisu anapigania utawala wa Sheria na mapenzi ya jinsia mmoja.
Labda kwa viongozi wasiofahamika.
Wengi wanajua kiongozi mahiri, hodari na mwenye utashi wa kisiasaWatanzania wa sasa sio wajinga uwadanganye kijingajinga namna hii.
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Tume siyo huru halafu mnashiriki uchaguzi tena kwenye hatua zote za mchakato mzima. Mkishinda mfano kwenye ubunge, CHADEMA baba lao!
Mkishindwa tume siyo huru!
Teke teke hadi hurumaBaada ya kumgeuzageuza sasa AMELEGEA KABISA