Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Mdahalo auna ulazima kwakua wote wamesha hudumu katika jamii kwaiyo tunaifahamu misimamo yao mfano JPM yeye anapigania nchi ijitegemee ijiamulie Mambo yake. Lisu anapigania utawala wa Sheria na mapenzi ya jinsia mmoja.
Labda kwa viongozi wasiofahamika.
umerukwa na akili ?
 
Mdahalo auna ulazima kwakua wote wamesha hudumu katika jamii kwaiyo tunaifahamu misimamo yao mfano JPM yeye anapigania nchi ijitegemee ijiamulie Mambo yake. Lisu anapigania utawala wa Sheria na mapenzi ya jinsia mmoja.
Labda kwa viongozi wasiofahamika.
Kwanini mnaogopa mdahalo?
 
Watanzania wa sasa sio wajinga uwadanganye kijingajinga namna hii.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Wengi wanajua kiongozi mahiri, hodari na mwenye utashi wa kisiasa
IMG-20200923-WA0002.jpg
 
..sikilizeni hadithi ya "Kibanga ampiga Mkoloni " hapo chini.

..kwa kweli inashabihiana na kampeni za Tundu Lissu.

..Jiwe alikuwa akijiona yeye ndiyo yeye ktk ulingo wa siasa za Tanzania, lakini sasa amepata kiboko yake.

..hakika AMELEGEA!!

 
Acha ujinga wewe! Unadhani kwanini Mkapa alionyesha hadharani hana imani na hiyo tume FAKE? Unadhani alikuwa hajui hilo!? Kushinda viti vichache vya Ubunge na vingine chungu nzima kudhulumiwa haimaanishi kwamba hiyo tume ni huru bado ni tumeccm tu. Hata kabla ya uchaguzi eti maccm wameshinda viti 20 bila kupingwa!!!! Uhuni wa hali ya juu.

Tume siyo huru halafu mnashiriki uchaguzi tena kwenye hatua zote za mchakato mzima. Mkishinda mfano kwenye ubunge, CHADEMA baba lao!
Mkishindwa tume siyo huru!
 
Baada ya kukaa kwenye ajenda za ndege na uwanja wa ndege chato kwa muda mrefu Sasa karudi kwenye swala hatari la sukari.

Anasema "Ujapandisha mishahara kwa miaka 5 lakini sukari uliikuta 1800 sasa hivi inauzwa 3,000 halafu unajiita Rais wa wanyonge.

Rais gani wa wanyonge design hii?"

Anasema kahawa kilo moja ilikuwa inauzwa 2500 mwaka 2015 Wakati anaingia madarakani halafu leo inauzwa 1100 yaani imeporomoka! halafu unajiita Rais wa wanyonge wanyonge wa wapi hawa?

Sukari uliipandisha kwa ulimi wako na kahawa uliishusha kwa ulimi wako Sasa utakuwa Rais wa wanyonge wapi?

My take: Rais atafutiwe mtu wa kumjibia hoja za Lissu maana sioni uwezo wake wa kujibu hizi hoja na graph ya Lissu kila siku inapanda hata kwa mtu asiyependa kusikia kwa vyovyote ataguswa

Uwe CCM uwe upinzani hoja za Tundu Lissu zitakugusa tu.
 
Back
Top Bottom