Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Ni mgawanyo wa majukumu
Kuna team ya kampeni
Kuna team inayoshughulika na maswala muhimu ya chama...si kwamba kwakuwa kuna uchaguzi basi mambo mengine hayaendi
Kwa kudanganyana Hamjambo
Alie waita lile Jina Kule Mbugani Alikuwa Sawa kabisa
Yaani mnajiona Malaika miungu watu hamkosei mpo Vizuri kumbe hovyo kabisa
Mpo na Ushabiki usio na Kichwa wala malengo
Mtasubiri saaaaaana
 
Trust None maendeleo ya miundombinu kama barabara sio sera ya Chadema,sera ya Chadema ni maendeleo ya watu kwanza alafu hiyo barabara ya Lusaunga Ngara baadae sana mpaka kwanza watu wapate maendeleo.
Sawa barabara wakati watu hawana nguo, na chakula, wape ubwabwa Kama Rungwe then wape nguo, wapeleke shule then wawezeshe kujenga uchumi binafsi, na taasisi alafu wakate kodi uwajengee barabara kwa Kodi na mapato yao, Ni approach tu,
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.

Labda siyo wasafi
 
..Salum Mwalimu anasaidia kampeni maeneo mengine.

..Mbowe anagombea ubunge, lakini alikuwepo ktk hatua za awali.

..Mnyika alishiriki hatua za awali za kampeni, sasa hivi anasaidia wagombea wa ngazi za ubunge na udiwani.

..Majaliwa amepita bila kupingwa ndiyo maana umeweza kutoka jimboni kwake kusaidia kampeni.
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show?!!
Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?!

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
Ngoja akome na leo nilikuwa naona huko ngara ana watu wachache utafikiri mgombea udiwani,
Wametengeneza jukwaa zuri lakini kwa kuwa watu hakuna imebidi abaki kwenye gari na kubwabwaja pale,
Hata viongozi wenzake hawafulahishwi na ukibaraka alio nao, na nadhani hawataki kushiriki dhambi ya usariti kwa taifa ndo maana wamejiweka pembeni.
Huwezi kuwa na mawakili ulaya wakati kuna akina kibatara wapo hawana kazi za kufanya kisha uonekane wa maana,
 
Ni mgawanyo wa majukumu
Kuna team ya kampeni
Kuna team inayoshughulika na maswala muhimu ya chama...si kwamba kwakuwa kuna uchaguzi basi mambo mengine hayaendi
KAZI kubwa na muhimu ya chama chochote cha Siasa ni kufanya kampeini kubwa ili kishinde uchaguzi na kuunda serikali. SASA kama kuna chama kina KAZI nyingine muhimu kuliko inayoendelea Kwa SASA , inabidi kiangalie upya priorities/vipaumbele vyake
 
Level ya LISSU iko juu kuliko Magufuli ila bahati mbaya wa Tanzania huwa hamsomi na mnasubiri taarifa tu za TBC1. Exposure ya Tundu Lissu kwenye sheria za madini ni ya kiwango cha kimatifa na hajaanza leo.

Naongelea madini kwa kuwa hapo ndipo Magufuli na Lissu walipopishana. Lissu kuanzia 1996-7 amekuwa kupigania haki za wachimbaji wadogo wadogo huko Nyamongo na Bulyanhulu wakati Magufuli alikuwa Mbunge na Waziri wa CCM. Kiufupi Magufuli hawezi akakubali kuingia mtego wa kukabiliana na Lissu kwa kuwa itakuwa ni aibu kubwa kwake.
 
Hbr wadau wasiasa.

Kama Uzi unavyojieleza, mimi nimepania kuchagua MAGU nasubiri tarehe tu! Sababu ninazo zakisiasa na kijamii kwanini nimchague MAGUFULI.

lkn swali langu hv wanataka chagua LISU wanasababugani.?
 
1. Ataleta mchakato wa Katiba Mpya kuanzia pale alipoishia Warioba ambapo itapunguza mamlaka ya rais kututeuliwa Mjaji, RC,DC, DAS nk nakuepusha migogoro inayotokana na hawa wateule wa rais.

2. Kurudisha fao la kujitoa

3. Kuondoa riba ya kihuni kwenye mikopo ya chuo kikuu

4. Kupunguza makato ya mshahara ya 15% hadi 3% kwa wanufaikaji wa mkopo wa chuo kikuu
 
Hivi mkosamali hakuwahi kuunga juhudi mkono kweli au kumbukumbu zangu haziko sawa.
 
CCM wanaumia sana kuona hivi!

Ukiona Magufuli anaanza kujadili mafuriko ya Lissu,ujue ni kweli amelegea kama alivyosema Lissu.

Awaeleze watanzania ni nini kinamfanya abadili mitazamo/msimamo/kauli zake za awali kama sio nguvu na ushawishi mkubwa alionao Lissu unaaopimwa kupitia mafuriko ya watu kwenye mikutano yake?
 
Back
Top Bottom