Ingekuwa hivyo huyo anayejiita MWENDAWAZIMU angeruhusu kuwepo kwa Tume Huru na kura kuhesabiwa hadharani na huu uhuni wa kuwaengua wagombea wa upinzani usingekuwepo. Acha kuandika upuuzi!
Tume huru ya uchaguzi siyo sawa na kisado cha mbege kwamba unakikuta tu kilabuni bwashee!
 
Ingekuwa hivyo huyo anayejiita MWENDAWAZIMU angeruhusu kuwepo kwa Tume Huru na kura kuhesabiwa hadharani na huu uhuni wa kuwaengua wagombea wa upinzani usingekuwepo. Acha kuandika upuuzi!
Lisu atapigwa mchana kweupe hata pata hata 20%.

Sasa wewe endelea kusubiri mwendawazimu akuletee tume huru utasubiri sana hadi unaingia kaburini.

Magu tano tena.
 
Hata Mbowe mwenyewe atakuwa anawacheka sana mlivyowasahaulifu.

Kiufupi moja kati ya vitu Mbowe anajivunia ni kuwa na wafuasi misukule.
 
Mapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!
Mwaka 2015 hakukuwa na unyanyasaji uonevu uovu ushetani wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, lakini mwaka 2020 kuna mengi mabaya yasiyo na idadi yaliyofanywa na utawala wenu kwa wananchi ikiwemo kuminya uhuru wa vyombo vya habari, kuzuia mikutano ya siasa kinyume cha Sheria na katiba,

kutumia Sheria mbaya za uhujumu uchumi kuwakomoa wakosoaji wa utawala wenu, kutumia uhamiaji kudai wakosoaji siyo Raia wa Tanzania na matendo mengi haramu, ikiwemo neno uchochezi neno la kishetani linalotumika kuwakomoa watu,

watumishi wa umma ndani ya miaka mitano bila nyongeza za mishahara wala kupandishwa madaraja ni mojawapo ya kero kubwa kwenye utawala huu, usifananishe mwaka 2015 kipindi cha lowasa na sasa ambapo watanzania wanalia na kujuta kumfahamu mtukufu.
 
Kuna watu wanaamini kuwa Kichaa anadanganywa, hapana hadanganywi.

Kuna wanao amini Jiwe anajitoa akili, hapana akili zake azina akili ya kujitoa ufahamu.

Ni hivi, anaona watu ni wengi na mapenzi yao kwa CHADEMA /MABADILIKO ni ya kweli, sasa upande wake anavyolazimisha watu wamfuate kwa gharama kubwa, hawezi kuvumiliana, ndio WAZIMU wake unavyompanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…