Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!
Watavuna wanachopandaPolepole na Bashiru wanamdanganya sana huyu mzee baba.
Tume huru ya uchaguzi siyo sawa na kisado cha mbege kwamba unakikuta tu kilabuni bwashee!Ingekuwa hivyo huyo anayejiita MWENDAWAZIMU angeruhusu kuwepo kwa Tume Huru na kura kuhesabiwa hadharani na huu uhuni wa kuwaengua wagombea wa upinzani usingekuwepo. Acha kuandika upuuzi!
Na bado wataendelea kuumia sana na sana.Kabisa Mkuu hawaamini wanachokiona. Eti Chadema imekufa 😂😂😂😂😂😂😂
Siyo kigezo cha Tanzania kukosa Tume huru ya uchaguziTume huru ya uchaguzi siyo sawa na kisado cha mbege kwamba unakikuta tu kilabuni bwashee!
Hujui unachokiandikaMapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!
Mikutano ya bila wasaniii wa bongo fleva kusingekuwa na mtu wangebakia kuhutubia miti na makada wenzaoKwenye hiyo picha mbona ni vumbi tu na miti.watu wachache sana.
Tume huru ya uchaguzi siyo sawa na kisado cha mbege kwamba unakikuta tu kilabuni bwashee!
Lisu atapigwa mchana kweupe hata pata hata 20%.Ingekuwa hivyo huyo anayejiita MWENDAWAZIMU angeruhusu kuwepo kwa Tume Huru na kura kuhesabiwa hadharani na huu uhuni wa kuwaengua wagombea wa upinzani usingekuwepo. Acha kuandika upuuzi!
Maria Sarungi Tsehai anamueleza Magufuli wewe tuliza mshonoMapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!
Mwaka 2015 hakukuwa na unyanyasaji uonevu uovu ushetani wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani, lakini mwaka 2020 kuna mengi mabaya yasiyo na idadi yaliyofanywa na utawala wenu kwa wananchi ikiwemo kuminya uhuru wa vyombo vya habari, kuzuia mikutano ya siasa kinyume cha Sheria na katiba,Mapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!
Iko shida pahala kusoma hujui hata picha huoni jiongeze basi huu mwaka watakekwa mpaka basiPolepole na Bashiru wanamdanganya sana huyu mzee baba.