Kwa Lowassa inajulikana wazi mliiba ila Lissu kasema wazi hatamuachia Mungu bwashee. Meko 'kalegezwa' na Lissu.Mapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!
Baada ya 28 oktoba tumeibiwa kuraBaada ya Oktoba 28, 2020 CCM ni KANU tu.
Lowasa na lissu ni kama mbingu na ardhi tulia unyoleweMapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!
Safari hii hamuibi kura wachunguzi wa mahakama za uhalifu ICC The Hague, na vyombo vingine Scotland Yard , FBI, CIA na mashirika ya haki za binadamu vipo Tanzania vinafuatilia kila kitu ili Duniani kote wajue nini kitaendelea tarehe 28 OctoberBaada ya 28 oktoba tumeibiwa kura
Mapenzi yapi wakati hata viongozi wenzake wa Kamati Kuu wamejitenga naye.
Mpaka tumwage damu sio?Tume huru ya uchaguzi siyo sawa na kisado cha mbege kwamba unakikuta tu kilabuni bwashee!
Sio mafuriko tu,Bali mafuriko yenye furaha,faraja,vifijo,nderemo,bashasha,sherehe,shamrashamra na shangwe.CCM wanaumia sana kuona hivi!
Ukiona Magufuli anaanza kujadili mafuriko ya Lissu,ujue ni kweli amelegea kama alivyosema Lissu...
CCM wanaumia sana kuona hivi!
Ukiona Magufuli anaanza kujadili mafuriko ya Lissu,ujue ni kweli amelegea kama alivyosema Lissu.
Awaeleze watanzania ni nini kinamfanya abadili mitazamo/msimamo/kauli zake za awali kama sio nguvu na ushawishi mkubwa alionao Lissu unaaopimwa kupitia mafuriko ya watu kwenye mikutano yake?
Nyie mtachomoa vibetri vya watu kwenye miyo 'pace maker'
Maccm mmewahi kuwaza kuhusu sera ya ukanda? Kwa sasa Kanda ya ziwa ni “untouchable“ ni kipaumbele kila kitu! Acheni upupu muelimisheni mgombea wenu ajifunze kuwapa wananchi wote haki sawa bila kuwabagua kikanda la sivyo ataishia kufokafoka tu majukwaani kura hapati!Kaburu, ...
Kile chumba cha Masaki kilichokuwa kinatumika kama talling centre mmeshafunga?Mapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!
Unaonaje vizuri na hayo macho yako Gongo imeyaharibu?Kwenye hiyo picha mbona ni vumbi tu na miti.watu wachache sana.
Mapenzi na Kura ni vitu viwili tofauti...... Muulize Lowassa!