Ile Sera yao ya kununua Wabunge wa
Upinzani imewagharimu sana,wakasahau kuwa sisi ndiyo wapiga Kura na misimamo uwa haibadiliki.


Wajiandae kufungasha virago .
Na nani alisema rais anatolewa kwa kura
 
Hapa ni njiani GEITA NYANKUMBU... MDAA HUUU wanawake, wazee, vijana kwa watoto wanamsubiri wakiimba jina la raisi....
 

Attachments

  • IMG_20200923_185938.jpg
    218.1 KB · Views: 1
  • IMG_20200923_185643.jpg
    248.8 KB · Views: 1
  • IMG_20200923_190144.jpg
    218.9 KB · Views: 1
Hapana TL ni shida ,watanzania wote m 50+ kila mmoja alikuwa anamuogopa Meko kuliko chochote lakini TL haogopi chochote na hii nadhani ni baada ya kukoswa risasi 16
Hata kabla ya kushambuliwa hakuwahi kumuogopa, tayari alikuwa amefunguliwa kesi 8 zote zenye maudhui ya uchochezi kwa kumkosoa na kumsema Meko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…