ningependelea mdahalo uwepo kwa wagombea
 
alafu aache kutuita sisi wanyonge


nb.mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,cha kustaajabisha haki yetu hatupewi zaid ya kunyang'anywa na tulichonacho
 
Hapana TL ni shida ,watanzania wote m 50+ kila mmoja alikuwa anamuogopa Meko kuliko chochote lakini TL haogopi chochote na hii nadhani ni baada ya kukoswa risasi 16
Kweli mkuu kila mtu alikua ameufyata kulinda uhai wake lakini lisu kwa kua ameshapita katika bonde la uvuli wa mauti hana tena cha kuhofia

Leo huko kagera naskia kamwambia arudishe shamba la heka 25k alilopora kutoka kwa wananchi
 
Wacha ageuzwe geuzwe nasikia ashalegea
 
nyie kaeni mnatiana ujinga hapa,siku ikifika mtaanza kutafuta mchawi muambiwe wameokoka wote.
 
Afrika mashariki plus Sudan kusini mtu mwenye uwezo wa kujibu hoja bila msaada wa polisi Ni Uhuru Kenyatta pekee wote waliobaki ni weupe kwenye reasoning
 
nyie kaeni mnatiana ujinga hapa,siku ikifika mtaanza kutafuta mchawi muambiwe wameokoka wote.
Kwa hiyo mkuu hayo aliyoyasema Lissu siyo ya kweli? Kwa kweli ninyi watu sitaki kuamini ni empty heads hivi,yaani Kuna mtu anataka magufuli aendelee kuwa rais wa nchi hii?Shame
 
Kwa hiyo mkuu hayo aliyoyasema Lissu siyo ya kweli? Kwa kweli ninyi watu sitaki kuamini ni empty heads hivi,yaani Kuna mtu anataka magufuli aendelee kuwa rais wa nchi hii?Shame

lissu kuongea ukweli na kushinda au kumpa pressure magufuli ni vitu viwili tofauti.

swala la lissu kushinda uchaguzi huu halipo,hata yeye analijua hilo.
 
Tunahesabu siku tu, ngonjera zote hizi zina mwisho wake.
Hata wewe naona umeanza kulegea na kushika adabu. Maandishi yako yaliyoonesha ukilaza wako, yaliyokuwa yanatuumiza macho ghafla hayaonekani tena na huku hizi bado ni rasharasha tu ngoja zianze za vuli, mtapotelena na mawe yenu. Kakimbia YEHODAYA kaingia Wacha1!
 
Mecco anachezea spana za hatari ana laani Sana waliokosea target
 

Attachments

  • FB_IMG_1600852742662.jpg
    27.7 KB · Views: 1
Kumbukeni kikokotoo kipya kinaanza tumika mwakani Ni baada ya kuzifilisi mifuko ya wafanyakazi michango yao kujengea chato, ukistaafu huna upatacho.
 

Wewe ni mwanafunzi katika uchambuzi wa siasa. Lissu kwa kauli hizo anampandisha chati Magufuli huku akijichimbia kaburi lake.

Ni Mtanzania anayetoka nje ya nchi, kama Lissu aliyekuwa nje ya nchi, anaweza kutamka vioja hivyo akaamini ni HOJA.

Ati sukari, ati kahawa! Du!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…