Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Hapa sio kwa watabiri, ni jamvi ka hoja. Leta hoja. Au ndio kwa mpango wa kuiba?
Anajiamini kama hivi hajui safari hii kila ovu litajulikana
tapatalk_1600679267530.jpeg
 
Magufuli afungashe virago vyake 'arest in hell'!!

Hivi 'likabudi' macho kumchuzi liko wapi like dingi? Amejificha mafichoni vichakani.?
 
Hata kabla ya kushambuliwa hakuwahi kumuogopa, tayari alikuwa amefunguliwa kesi 8 zote zenye maudhui ya uchochezi kwa kumkosoa na kumsema Meko.
Namnuku 2016 watanzania tuungane kuupinga udictator uchwara wa magufuli.haijawahi kutokea Tanzania kuwa na rais wa ajabu kama magufuli.ni rais ambae ataweka historia ya kutawala kipindi kimoja cha urais mwisho wa kunukuu.
 
Nimeona Picha za mkutano wa lisu huko Geita Jimbo la busanda ni hatari watu wana mahaba Ya lisu wanaonesha Kwa hisia Kari Sana wanavyonesha hisia zao inaonesha dhahiri kuwa huko hawamtaki hata kumsikia magufuli, je Mimi huku sirari tarime ni Nani kwa magufuli? Kupiga kura Kwa magufuli ambae hata kwao hawamtaki Kwa sababu ambazo wanamjua vizur ni matumiz mabaya Ya kura Yangu hivyo nitampigia lisu Kwa nguvu zangu zooote
 
Hayo Ni makosa machache Kati ya mengi mazuri, sasa Yeye naye Alisema kwenye swala la madini kuwa tutashitakiwa MIGA, Je Hilo yeye analisemaje,

Kwamba Watanzania tuwe na Raisi muoga asiyethamini na kuvitetea vitu vyetu licha ya makosa yaliyofanyika huko nyuma?
Mliwashitaki???? Na zile 300+T wamelipa??
 
Amebaki kujibaraguza kugeuza kofia ili aonekane wa MUJINI na kuruka kuruka kwa nyimbo za zuchu. Nimetoka Twitter kuwachapa maccm za uso.
Inawezakana kweli mtu akakuachia umchape za uso, Je wewe umechapwa za wapi? Tuambie
 
Vp mbona unapanik mzee vp dawa imeingia vizuri
Kuna watu baada ya oktoba, 28 watapata magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo presha na sukari.

Et mtu na akili zake timamu anaamini kabisa Lissu atakuwa Rais wa JMT , nasema hivi Lissu siyo tu hawezi kuwa Rais bali hawezi kufikisha hata 5% ya kura atakazozipata Magufuli.

Video nyingi zinazowekwa mtandaoni zikionyesha Lissu kupata mapokezi makubwa ni edited mfamo mzuri Jana mkoa wa Kagera ule ameshindwa kabisa kuujaza uwanja wa Gymcana, bado hata leo Katoro Geita amepata mapokezi kiduchu kweli.
Lisu kamatia hapohapo
IMG_20200915_101259.jpeg
 
Nakwambia baada ya tarehe hiyo kuna watu watalazwa baada ya kukosa wabunge hata 10 nakwambia Bukoba uwanja wa Gymcana kulikuwa na watu wachache sana lakini edited picha zinazosambaa mtandaoni ni tofauti kabisa.
Kaa vizuri dawa isukumwe ndani ili uweze kupona ugonjwa wa magufulization
IMG_20200915_101259.jpeg
 
Back
Top Bottom