Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu
Unaposimamia UHURU na HAKI wa raia wenzio ambao wamenyanyaswa, kudhalilishwa na kutendewa maovu mengine mbali mbali ikiwemo MAUAJI na ushahidi upo wa kutosha tu hakuna ambaye atakuzidi kwa hoja.

Nchi tajiri ina ardhi kubwa yenye rutuba, rasilimali za kumwaga na Watu tele lakini baada ya miaka 60 hatuna chochote cha kujivunia wakati hayo majizi na mafisadi yanakuwa mamilionea na mabilionea huku asilimia kubwa ya Watanzania wakiishi katika UFUKARA WA KUTISHA mlo mmoja tu kwa siku hawajui watautoa wapi.
Na bado ati wanajitia kushangaa kwanini Tanzania ni maskini!!!
 
Maria Sarungi Tsehai anamueleza Magufuli wewe tuliza mshono
Huu uchaguzi tutaonana icc the Hague...kazi ambayo kuna January and.nape wanafanya sasa.hivi
..details.zote zimetumwa the hague...wapi wanakutana waako na akina nani...tutaelewana mwaka huu
 
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaani huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anayesikika midomoni mwa wapiga kura.
 
Baada ya uchaguzi wa mitaa mwaka jana kuna watu humu walijiapiza kuwa hawatopiga kura tena, hata mapema mwaka huu zoezi la kuboresha daftari la wapigakura likiendelea wao wakawa wanashangilia uchache wa watu walioitikia kushiriki zoezi.

Wanakwenda kuvuna walichopanda.
 
Polokwane.

Hivi unadhani ni kwanini vinijini?! Uelewa huko ni mdogo, ukizingatia hao jamaa within 5 yrs walikuwa na kibano cha kutokufanya siasa.
Pili huyo unayesema anakubalika kavihatamia vyombo vya habari. Ni yeye na chama chake tu ndiyo watatangazwe. Ufanyaji siasa Africa especially Tanganyika ni mgumu sana.

Hata hapo walipofanya kina Lissu na chama chake, wamejitahidi.
 
Ata uku kwenye social media hawazidi watano Ila wanatumia Id zaidi ya 20. Yaani wamepotea vibaya.
Ushahidi ni zile picha za 2015 alizorusha Kileo (kiongozi wa chama) akiudanganya umma kuwa ni za mapokezi ya Lisu Shinyanga. They're desperate.
 
Lissu ni mgombea wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii. Atakula mwereka hatoamini anachokisikia
 
CHADEMA mna watu wa kuwashabikia lakini bahati mbaya ni kwamba hamna wapiga kura kabisa, note my word

Nipo vijijini huku hakuna hata mtu mmoja anayeitaja CHADEMA achilia mbali LISSU, yaan huku ni Dr. Magufuli pekee ndiye anaye sikika midomoni mwa wapiga kura.
Hicho kijiji chenu kitakuwa kimezungukwa na nyumba za tembe mkuu
 
Back
Top Bottom