Unaposimamia UHURU na HAKI wa raia wenzio ambao wamenyanyaswa, kudhalilishwa na kutendewa maovu mengine mbali mbali ikiwemo MAUAJI na ushahidi upo wa kutosha tu hakuna ambaye atakuzidi kwa hoja.
Nchi tajiri ina ardhi kubwa yenye rutuba, rasilimali za kumwaga na Watu tele lakini baada ya miaka 60 hatuna chochote cha kujivunia wakati hayo majizi na mafisadi yanakuwa mamilionea na mabilionea huku asilimia kubwa ya Watanzania wakiishi katika UFUKARA WA KUTISHA mlo mmoja tu kwa siku hawajui watautoa wapi.