Kapwil
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 2,625
- 3,735
Wewe unaijua billion nane wewe au unaisikia punguani mkubwaMbowe huyu huyu mwangushwa konyagi na mla billion 8 za michango ya wabunge ndiyo aokoe jahazi la Lisu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaijua billion nane wewe au unaisikia punguani mkubwaMbowe huyu huyu mwangushwa konyagi na mla billion 8 za michango ya wabunge ndiyo aokoe jahazi la Lisu??
Hoja ya cheti Cha kuzaliwa Cha mgombea wenu mbona hamijibu hiiLisu ameshindwa kupata pigo la ushindi,
Anatapatapa tu,
Habari yake inaisha 28/10/2020.
Hao watoto wanao uwezo wa kuhimili visasi au wazazi wao kubambikwa uhujumu uchumiLisu anapendwa aiseeeView attachment 1578647
Anajiamini kama hivi hajui safari hii kila ovu litajulikanaHapa sio kwa watabiri, ni jamvi ka hoja. Leta hoja. Au ndio kwa mpango wa kuiba?
Mungu ni mwema wakati woteIle Sera yao ya kununua Wabunge wa
Upinzani imewagharimu sana,wakasahau kuwa sisi ndiyo wapiga Kura na misimamo uwa haibadiliki.
Wajiandae kufungasha virago .
Safari hii atatolewa kwa kuraNa nani alisema rais anatolewa kwa kura
Namnuku 2016 watanzania tuungane kuupinga udictator uchwara wa magufuli.haijawahi kutokea Tanzania kuwa na rais wa ajabu kama magufuli.ni rais ambae ataweka historia ya kutawala kipindi kimoja cha urais mwisho wa kunukuu.Hata kabla ya kushambuliwa hakuwahi kumuogopa, tayari alikuwa amefunguliwa kesi 8 zote zenye maudhui ya uchochezi kwa kumkosoa na kumsema Meko.
Mliwashitaki???? Na zile 300+T wamelipa??Hayo Ni makosa machache Kati ya mengi mazuri, sasa Yeye naye Alisema kwenye swala la madini kuwa tutashitakiwa MIGA, Je Hilo yeye analisemaje,
Kwamba Watanzania tuwe na Raisi muoga asiyethamini na kuvitetea vitu vyetu licha ya makosa yaliyofanyika huko nyuma?
Inawezakana kweli mtu akakuachia umchape za uso, Je wewe umechapwa za wapi? TuambieAmebaki kujibaraguza kugeuza kofia ili aonekane wa MUJINI na kuruka kuruka kwa nyimbo za zuchu. Nimetoka Twitter kuwachapa maccm za uso.
Lisu kamatia hapohapoKuna watu baada ya oktoba, 28 watapata magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo presha na sukari.
Et mtu na akili zake timamu anaamini kabisa Lissu atakuwa Rais wa JMT , nasema hivi Lissu siyo tu hawezi kuwa Rais bali hawezi kufikisha hata 5% ya kura atakazozipata Magufuli.
Video nyingi zinazowekwa mtandaoni zikionyesha Lissu kupata mapokezi makubwa ni edited mfamo mzuri Jana mkoa wa Kagera ule ameshindwa kabisa kuujaza uwanja wa Gymcana, bado hata leo Katoro Geita amepata mapokezi kiduchu kweli.
Tume mpya hoyeeeSafari hii atatolewa kwa kura
Kaa vizuri dawa isukumwe ndani ili uweze kupona ugonjwa wa magufulizationNakwambia baada ya tarehe hiyo kuna watu watalazwa baada ya kukosa wabunge hata 10 nakwambia Bukoba uwanja wa Gymcana kulikuwa na watu wachache sana lakini edited picha zinazosambaa mtandaoni ni tofauti kabisa.
Waulize Ivory Coast, Gambia, Ghana, Zambia na KenyaNa nani alisema rais anatolewa kwa kura
Bati alikuingia madarakani ilikuwa 170000 Leo 320000.Ila kwani jiwe akukuta kilo ya sukari Tsh 1800? Au Lissu muongo?
Hao wote waliikomboa Afrika?Waulize Ivory Coast, Gambia, Ghana, Zambia na Kenya
Lisu ameshindwa kupata pigo la ushindi,
Anatapatapa tu,
Habari yake inaisha 28/10/2020.