Unaposimamia UHURU na HAKI wa raia wenzio ambao wamenyanyaswa, kudhalilishwa na kutendewa maovu mengine mbali mbali ikiwemo MAUAJI na ushahidi upo wa kutosha tu hakuna ambaye atakuzidi kwa hoja.

Nchi tajiri ina ardhi kubwa yenye rutuba, rasilimali za kumwaga na Watu tele lakini baada ya miaka 60 hatuna chochote cha kujivunia wakati hayo majizi na mafisadi yanakuwa mamilionea na mabilionea huku asilimia kubwa ya Watanzania wakiishi katika UFUKARA WA KUTISHA mlo mmoja tu kwa siku hawajui watautoa wapi.

Inawezakana kweli mtu akakuachia umchape za uso, Je wewe umechapwa za wapi? Tuambie
 
Jiwe linakula spana za kutosha Hadi October litakuwa ndembe ndembe Kama tu ngome yake li chali vipi pasipo ngome yake, kwa yanayoendelea ccm itashinda dodoma pekee kule Wala haitaji kukimbiza mwenge ili ipate kura
 
Yani anamgeuza geuza km chapati yani😀😀

Rais Tundu Lissu
 
Ila kwani jiwe akukuta kilo ya sukari Tsh 1800? Au Lissu muongo?
Sasa we ndio umeona 1800 hela? Huo ukasuku na upimbi wako peleka kwa mlevi wa konyagi. Tanzania sisi tunasonga mbele, kodi imepunguzwa hadi kufikia digit moja wewe hilo hulioni, kule shule ulikwenda kufanya nini kupiga lamli?
 
Ccm wafanyao kampen ni 3 rais makamu na wazr mkuu ila wote wanapigwa na lissu
 
Pongezi kubwa kabisa kwa kuifanya hii MADA MAALUM. itapunguza utitiri wa mada mfanano na pia itasaidia utunzaji mzuri wa kumbukumbu
Itapendeza zaidi hotuba za wagombea zikiambatanishwa pia kwenye uzi huu ili kuweka kumbukumbu ya kihistoria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…